Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Njoo nikupeleke ukajidunge shots za martelli uzime kwanza😆Napamanya hapo 😀
Njoo nikupeleke ukajidunge shots za martelli uzime kwanza😆Napamanya hapo 😀
Ndo maana ya G4S ila sio kutibua watu bila sababu unaanza kuimba wewe tena masikioni mwao kisa unapiga vikali wao chupa moja ten hours 😂Na nikipigwa unanitetea sio unashangaa mara unikimbie😒
Nani azime ..nina historia hapo Tunza rafiki zangu huwa wananikumbusha sana about those times 😀Njoo nikupeleke ukajidunge shots za martelli uzime kwanza
Lakini kumbuka Seran pombe inatakiwa unywe ukiwa huna stress wala depression yeyote.Yani huyu wakili anaacha bar ya sehemu fulani amepaki anaenda kulala bar nyingine kuna kipindi alikaa week nzima hana gari! Na hapo ukipita tu anakuita anakulazimisha unywe! Na maaaa yanavyozidi kusogea anakuwa mkali anasema ameshakipa kesho yake madeni lukuki🙌🏾 Duhh bora kulewa kitajiri tu hizi za kama unakunywa gongo ya shinyanga ni hatari!
Ni mwendo wa kulamba kama paka! Inaboa lazima wamalizie hasira zote kwangu aisee! Kuna siku nilitingisha meza ya hizi za green, mnunuliwaji wa kike alinikata jicho🫢Ndo maana ya G4S ila sio kutibua watu bila sababu unaanza kuimba wewe tena masikioni mwao kisa unapiga vikali wao chupa moja ten hours 😂
Kwahiyo chupa ya martelli unakata mwenyewe?Nani azime ..nina historia hapo Tunza rafiki zangu huwa wananikumbusha sana about those times 😀
Yule nahisi ana shida mahali, maana kakonda kababuliwa na ma kvant mdomoni! Ana smoke kama kichaa! Mkewe kashachoka mara aondoke na alichaga kazi bank yuke mama! Huyu wakili mimi simwelewi kama vile karogwa hasikii! Mawakili wenzie wote wanamjua! Kuna law firm nikikuwa nafanya kazi siku moja tuko mahakamani na boss namuona anamuita akamwambia vipi wakili akatoa ela kdg akampa duhh yani huku ni kama kudharaulika sana!Lakini kumbuka Seran pombe inatakiwa unywe ukiwa huna stress wala depression yeyote.
Mna uhakika huyo wakili Hana Tatizo linalomsumbua, kwasababu mfano Mimi siwezi kunywa pombe nikiwa na matatizo huwa nakunywa pombe nikiwa na raha tu au nikitoka kutimiza mchongo fulani.
Hata mwaka niliohamia kwangu nililewa Mwezi mzima.
Siku niliyovuna gunia 200 za mahindi nililewa Sana.
Siku aliyomaliza chuo mwanangu watu tulifurahi karibu week nzima.
Siku niliyoshinda tenda fulani hapa mjini ,mawakili wangu walioga pombe.
Lakini pia niliacha pombe mwakajuzi ikawa my wife ananibana nisilewe,nikaanza kukonda ,akaniruhusu ninywe kustaarabu,hiyo siku alinikuta nipo bar mishale ya saa 11 alfajir.
Ukifikia kusahau Hadi gari huku ukinunulia pombe everyone basi kuna shida mahali
Dah ile siku nipo na wale wadada , nililetewa bil laki 4 na 70 , na sikuona hata nimekunywa kitu, dah🥲Umenikumbusha kuna huyo wakili mtaani kwetu akienda kulewa anaacha madeni analewa mpaka anazima analala hukohuko kesho yake unamkuta analipa madeni lohh🙌🏾
Sasa umejua Tatizo.Yule nahisi ana shida mahali, maana kakonda kababuliwa na ma kvant mdomoni! Ana smoke kama kichaa! Mkewe kashachoka mara aondoke na alichaga kazi bank yuke mama! Huyu wakili mimi simwelewi kama vile karogwa hasikii! Mawakili wenzie wote wanamjua! Kuna law firm nikikuwa nafanya kazi siku moja tuko mahakamani na boss namuona anamuita akamwambia vipi wakili akatoa ela kdg akampa duhh yani huku ni kama kudharaulika sana!
Labda ulikuwa unagida makreti ya serengeti lite! Jifunze kununua JD na jagger au martelli na ice yako hapo pembeni basi!Dah ile siku nipo na wale wadada , nililetewa bil laki 4 na 70 , na sikuona hata nimekunywa kitu, dah🥲
Mimi bar naenda mara moja au hata mbili kwa mwaka , mara nyingi nalewa zangu home tu, nasiku nikienda bar , ni stories za mpira au napiga kimya nasikiliza mziki private
Huyu hasikii pombe ya kawaida hivyo vi kvant vyenyewe anagida kama maji! Sidhani kama kuna siku atarudi kwenye beer yani sidhani! Pombe za gharama ndio nzuri huwezi kufananisha kvant na JD lazma utafanya mambo ya aibu, lakini jd inakaa masaa kadhaa unarudi kwenye uhalisia no hangover unaendelea na mishe zako lakini kvant sjui hansons(henessy pori) lazima utie aibu! Kuna siku nilikata hansons tule tuchupa tuwili, nilikuwa nachekacheka kama kichaa mara nipande juu ya meza! Lakini ukinywa zako jagger au VSOP huwezi jinyeanyea kama huyo mzee..Sasa umejua Tatizo.
Sijawahi tumia spirit yeyote kama
Konyagi,
K can't ,
Vodka zote,
Whisky yeyote,
Siwezi kunywa pombe yeyote ya gharama
Nakunywa bia tu,zamani safari lager.
Nikaona zinanisumbua nikahamia
Kwenye Castle lite Hadi Leo hii nitakunywa hiki kibia.
Pombe ukiitumia vibaya heshima hushuka Kwa Kasi mno
Huo ndio ukorofi wa kurushiwa green bottles sasa 😂Ni mwendo wa kulamba kama paka! Inaboa lazima wamalizie hasira zote kwangu aisee! Kuna siku nilitingisha meza ya hizi za green, mnunuliwaji wa kike alinikata jicho🫢
Sema ile siku ilikua sikukuu, ila nahisi wale wadada waliongeza Bil makusudiLabda ukikuwa unagida makreti ya serengeti lite! Jifunze kununua JD na jagger au martelli na ice yako hapo pembeni basi!
Anhh we nakubinua meza?😆Huo ndio ukorofi wa kurushiwa green bottles sasa 😂
Hahahah waliona zipo! Hawakukutana na wale wanacalculate step by step mpaka mia irudi!Sema ile siku ilikua sikukuu, ila nahisi wale wadada waliongeza Bil makusudi