Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

Huyu hasikii pombe ya kawaida hivyo vi kvant vyenyewe anagida kama maji! Sidhani kama kuna siku atarudi kwenye beer yani sidhani! Pombe za gharama ndio nzuri huwezi kufananisha kvant na JD lazma utafanya mambo ya aibu, lakini jd inakaa masaa kadhaa unarudi kwenye uhalisia no hangover unaendelea na mishe zako lakini kvant sjui hansons(henessy pori) lazima utie aibu! Kuna siku nilikata hansons tule tuchupa tuwili, nilikuwa nachekacheka kama kichaa mara nipande juu ya meza! Lakini ukinywa zako jagger au VSOP huwezi jinyeanyea kama huyo mzee..
Nani alikushika wakati unapanda maana aibu ni yake 🤣🤣
 
Kwahiyo ulivipiga vifarasi viwili ukawa unachekacheka😂 ukipata time njoo nilipo
 
Huyu hasikii pombe ya kawaida hivyo vi kvant vyenyewe anagida kama maji! Sidhani kama kuna siku atarudi kwenye beer yani sidhani! Pombe za gharama ndio nzuri huwezi kufananisha kvant na JD lazma utafanya mambo ya aibu, lakini jd inakaa masaa kadhaa unarudi kwenye uhalisia no hangover unaendelea na mishe zako lakini kvant sjui hansons(henessy pori) lazima utie aibu! Kuna siku nilikata hansons tule tuchupa tuwili, nilikuwa nachekacheka kama kichaa mara nipande juu ya meza! Lakini ukinywa zako jagger au VSOP huwezi jinyeanyea kama huyo mzee..

Basi mm sikuzoote najua seran ni mtumishi 😁 kumbe jambazi
 
Mimi bar naenda mara moja au hata mbili kwa mwaka , mara nyingi nalewa zangu home tu, nasiku nikienda bar , ni stories za mpira au napiga kimya nasikiliza mziki private

Hahaha wewe unajitambua sana.

Mm kamwe huwezi nikuta nimelewa hata nitoke bar saa 11 alfajiri.

Kama siku najiona niko na stress zangu basi ntanunua Wine - ntakunywa homme.

Ukinikuta bar napunga upepo tu, silewi
 
Back
Top Bottom