Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

Namba 10, ndio jambo muhimu. Unapotoka muachie yule mlinzi hata bia mbili au buku tano. Inasaidia sana kwenye usalama wako hata unapotoka anaweza kuangalia umeondoka na bodaboda gani.

Huu ni woga ulio kithiri na hauwezi kukusaidia, kama unatoa tip kust do it at good will.

Epuka kukaa vijiwe vya wahuni kama wewe sio muhuni.

Kuna Vijiwe vingi sana ambavyo ni tuluvu na unapata starehe kama zoote.
 
Mbinu Bora sana za kijasusi hizi... Mleta mada umetisha sana....

Ongezea na hii.."Jaribu kwa Hali na Mali ku balance shobo"..
Namaanisha Kuna Namna unaweza kuingia kiwanja cha bar , kutokana na muonekano , aina ya usafiri unaotumia n.k. Kuna Namna watu au hata mademu wakaanza kushoboka na wewe....
Hii ina attract evil spirits kama Wivu na husuda kwa uliowakuta.. shobo zikiwa kama zinataka kuzidi Jaribu ku balance hivi kwa ku play low key .. utaepuka mengi
NB: bar sio kwamba watu wana furaha ...ni mkusanyiko wa watu wenye stress na mental depression.. amini kwamba..

Warning ⚠️ ⚠️ ⚠️ ⚠️:stay cautious and vigilant all the time

👍
 
Hiyo ndo muhimu zaidi
Ukiwa unawatoa hao mabaunsa, hapo bar utakuwa salama zaidi
 
kuna bar zina standard yake mfn liquid ya uhasibu pale nimeenda kitambo mpk sasa nikipata wasaa ila sijawah ona vurugu wala kelele, the moment unahama meza yako kwenda nyingine na unasumbua unatupwa nje hakuna utani,,

nadhani hapa bar hasa hizi zenye uswahili mm siwez enda huko naona kutrend mitandaoni na usalama ni mdg,

ila nadhani utulivu wako, kunywa kistaarabu, acha kutaka kila dem awe wako, wanaojitambua bar ni wachache sana

wengi ni stress, hawanywi kama starehe
 
Back
Top Bottom