Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

Sawa utakunywa utakacho,
Usichotumia usikiite takataka,kwahiyo ukiwa kwenye Range rover na Mimi nipo kwenye brevis yangu nitaonekana naendesha takataka šŸ˜‚
Boldly, without thinking twice! (Jox lol) sina hata kirikoušŸ˜†
Jifunze kucheza na maneno unaonesha ni mjeurišŸ˜‚

Jamani we are anonymously here! How do u want me to act🤭

Don’t judge just convošŸ˜†
 
Aanh hiko sikitaki kaa nacho tu😁
Aaah vitochi vina hela balaa kutuma kwa counter šŸ˜‚
Ndo vinafanya Martinelli aje mezani ujue 🤣 🤣
Kitochi ni gold shauri yako, unapiga teke simu ya kusambaza mishahara isiyo na PAYE šŸ˜‚
 
Boldly, without thinking twice! (Jox lol) sina hata kirikoušŸ˜†

Jamani we are anonymously here! How do u want me to act🤭

Don’t judge just convošŸ˜†
Huo ni mfano nimekupa,ila punguza kujiamini ,kuna mtu mkubwa Sana kwenye jeshi la polisi huwa nakunywa naye hajawahi kuvimba,

Kuna Staff mwenzangu kwasasa yupo wizarani anakunywa pombe unayoiita wewe takataka, kuna mfanyabiashara
Mmoja ana mawe ya kutosha yupo mtwara akija mjini lazima anitafute,anakunywa pombe unayoiita wewe takataka, naomba nikualike ,kama upo Dar jumamosi njoo Ubungo external kamata njia ya maji chumvi kisha shuka Paris lounge ,nataka nikuone unadharau vipi vitu wanavyotumia watu
 
Aaah vitochi vina hela balaa kutuma kwa counter šŸ˜‚
Ndo vinafanya Martinelli aje mezani ujue 🤣 🤣
Kitochi ni gold shauri yako, unapiga teke simu ya kusambaza mishahara isiyo na PAYE šŸ˜‚
Kwanini kitetewe sana? Aanh hapanašŸ™ŒšŸ¾
 
Huo ni mfano nimekupa,ila punguza kujiamini ,kuna mtu mkubwa Sana kwenye jeshi la polisi huwa nakunywa naye hajawahi kuvimba,
Jamani bro umechukulia serious sana mambo mi natania tu hapa wala siko namna hiyo!
Kuna Staff mwenzangu kwasasa yupo wizarani anakunywa pombe unayoiita wewe takataka, kuna mfanyabiashara
Mmoja ana mawe ya kutosha yupo mtwara akija mjini lazima anitafute,anakunywa pombe unayoiita wewe takataka, naomba nikualike ,kama upo Dar jumamosi njoo Ubungo external kamata njia ya maji chumvi kisha shuka Paris lounge ,nataka nikuone unadharau vipi vitu wanavyotumia watu
Halafu hiyo takataka sio kwa jinsi ulivyoibebelea wewe! Ni kama tu walevi wanavyoita juice, u take things too serious and personal!unione tena😱Na sijasema niko wapi unanielekeza mitaa ya dar🤣 sorry tuishie hapa!
 
Mbinu Bora sana za kijasusi hizi... Mleta mada umetisha sana....

Ongezea na hii.."Jaribu kwa Hali na Mali ku balance shobo"..
Namaanisha Kuna Namna unaweza kuingia kiwanja cha bar , kutokana na muonekano , aina ya usafiri unaotumia n.k. Kuna Namna watu au hata mademu wakaanza kushoboka na wewe....
Hii ina attract evil spirits kama Wivu na husuda kwa uliowakuta.. shobo zikiwa kama zinataka kuzidi Jaribu ku balance hivi kwa ku play low key .. utaepuka mengi
NB: bar sio kwamba watu wana furaha ...ni mkusanyiko wa watu wenye stress na mental depression.. amini kwamba..

Warning āš ļø āš ļø āš ļø āš ļø:stay cautious and vigilant all the time
 
Jamani bro umechukulia serious sana mambo mi natania tu hapa wala siko namna hiyo!

Halafu hiyo takataka sio kwa jinsi ulivyoibebelea wewe! Ni kama tu walevi wanavyoita juice, u take things too serious and personal!unione tena😱Na sijasema niko wapi unanielekeza mitaa ya dar🤣 sorry tuishie hapa!

Huyu anataka akuoneshe taka mwili zinako tokea, kua makini 🤪
 
Back
Top Bottom