cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Mbona mie ningekua siruhusiwi kuingia hapo, maana vinjunga, sleeveless, ndio mapigo yangu atiii.Vinjunga vinjunga, sleevless wanakuona kama umeenda kukaba wateja,
Mbona mie ningekua siruhusiwi kuingia hapo, maana vinjunga, sleeveless, ndio mapigo yangu atiii.Vinjunga vinjunga, sleevless wanakuona kama umeenda kukaba wateja,
[emoji23][emoji23][emoji23]Walevi kwa kukuza mambo hamjambo. Ulivoelezea ni kama pombe unanywea strait of hormuz
Nishachapwa kimoko, sahivi mume anacheza PS5, mie naswampa JF.Wewe lala muda wako wa kuhudumia ndoa huu
Bado Empire nyegezi watu watakuja kuanaMwamba kauliwa kwenye kiwanja changu cha nyumbani kabisa LAS VEGAS, R.I.P kwake. Sema mle tunakutana wababe tu na tukishalewa tunarushiana chupa za konyagi kama tunacheza mdako. Mle tunaingia wakurya kutoka kwenye vilima vya walunguli na kidogo wajaluo,wajita na wasukuma kwa mbali maana hao tukilianzisha vagi tunalianzisha kweli
Hivi ni kipi hutumika kuonja mboga kati ya kidole na ulimi nijibu bibieNishachapwa kimoko, sahivi mume anacheza PS5, mie naswampa JF.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda the Bistor ukale maishaSasa hapo unaenda bar au vitani? Mbona tactics nyingi sana?
Kuna sehemu kiwanja Dodoma inaitwa Bambalaga mwanzoni ilikua hauingii kama upo upo tuu hata kama upo full loaded na millions, naona sasa hivi wamelegeza yeyote tu anaingia.
Ko hutaki au? [emoji23][emoji23][emoji23]Duuuuh [emoji1787]
Ulimii. [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ni kipi hutumika kuonja mboga kati ya kidole na ulimi nijibu bibie
Kitambaa inaanzishwa tabata nilitoka na corona niliwahi kusahau gari nastuka asubuhi sina gari baada ya kulewa chakali niliacha gari nikaenda na boda tabata magengeniUsiende bar za kiswahili kamwe!! Sijui kitambaa, small planet, achana nazo!!
Double payment siyoWee lazima upitie kwangu Masijara kuhakikiwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
AlamsikiUlimii. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyoo [emoji23][emoji23][emoji23]Double payment siyo
Swadaktaaa!!Alamsiki
Ndo nini hii ?Alamsiki
Kuna demu alipigwa kisu cha kifuani kisesa sijui alipona daah hapo mwanzaBaada ya taarifa kutoka Mwanza ya kuwa kijana ameuliwa na mabaunsa wa Bar, nimeona nitoe elimu kidogo ambayo haitolewi popote
Hii ni elimu ya mtaa
1. Bar sio sehemu ya watu wanyonge.
Ukijua wewe ni mlaini usikanyage bar au night clubs, watakupiga wakuuwe
2. Hakikisha una kampani.
Kampani itakuhakikishia usalama ndo maana matajiri hulipa machawa na wapambe ili kuwa na ulinzi kipaumbele
3 kuwa na silaha iwe ya jadi au ya moto
Bar hasa usiku Kuna ubabe kwaiyo kuwa na mguu wa kuku ni vyema zaidi.
Watu makini Huwa hawaendi bar chukuchuku
4 Kagua milango ya kutokea na kutoroka in case emergency ya fujo ikitokea.
Masela laZima wajue Chocho zote za ku escape labda ukiishiwa pesa na huku ushakunywa bia
5. Kuwa na usafiri au nauli. Sio unalewa pesa zote, wahuni watakufanya vibaya.
6. Achana na mademu wa bar.
Wajanja hatuchukuaji mademu wa bar, hawa ni j
Hatari kwanza wanakuletea maadui usiowajua au hata wao kukudhuru
7 Epuka migogoro isiyo ya laZima.
Usilete usela mavi, bar Kuna wahuni wamepinda na washalewa kukumwaga ubongo hawachelewi
8. Epuka rafiki mpya wa bar
Usijenge sana urafiki na mtu ambaye ndo umekutana nae kwenye pombe
9. Usitafute umaarufu bar, watakuwa wahuni
Kunywa bia, dance, kula ondoka acha misifa
10. Wape tip kiaina hao mabaunsa ili ukizingua wawe upande wako
Soma Pia: Mwanza: Auawa na mabaunsa kisa Tsh 8000
Sasa wewe ndio utafanywa kibudu siku ikikutokea huna pesa. Bora bar moja ili ikitokea hela imeisha wanajua hata kesho utaleta. Kimedani zaidi mgeni akiingia tu unaanza kumnusa na kumfuatilia na kujihami, isije ikawa walewale11. Usizoee bar moja, badilisha bar. Usizoeleke bar.
Ni sahihi MkuuNimesoma tips zote zilizotolewa..in short ili uende bar za kibongo lazima uwe unajua ngumi kidogo (hapa inabidi upitie mafia boxing wakupike kidogo), ni lazima ujue kukimbia (hapa Kipchoge na Simbu wanahusika), ni lazima uwe na silaha yoyote (sielewi labda upite JKT au mgambo), uende Bar wanayokufahamu (inatabidi ukareport na kujitambulisha Bar zote za Tz maana kuna siku utasafiri nje ya mkoa wako ambako hawakujui), pale bar inabidi ujue Chocho zote za kutorokea endapo kitanuka (uwe CIA au FBI, kwa kifupi mpelelezi..kazi ipo), uache tip kwa mabaunsa (inabidi uwe unatembea na kibubu)... kwakifupi tu hakuna haja tena ya kwenda Bar maana sio sehemu salama tena!!!