Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Haiwezekani😌Punguza wivu 😁
Haiwezekani😌Punguza wivu 😁
Mwanaume huna pesa unaenda bar kufanya nini?
Hela imeisha, unaendelea kukaa bar kufanya nini?
Imebidi niseme hivyo kwa sababu nimeona unaenda bar kwa wasiwasi na unakunywa vinywaji vyako kwa wasiwasi wakati hiyo ni stareheSometimes hizo bar Zina mzuka wake
laZima tuzame tusahau ustaarabu wote
Binafsi Kuna muda napenda hizo harakati maana na Mimi sio mnyonge.Imebidi niseme hivyo kwa sababu nimeona unaenda bar kwa wasiwasi na unakunywa vinywaji vyako kwa wasiwasi wakati hiyo ni starehe
Zamani ndio nilikua hivyo kwenye miaka 20 - 30, ila sasa hivi sipendi mziki wa makelele na fujo fujo na heka heka za barBinafsi Kuna muda napenda hizo harakati maana na Mimi sio mnyonge.
Yaani ninywe bia zangu katika hali ambayo ina hela heka
😅😅Me Niko 35 ila Bado napenda mno hizo bar za fujo
Sijisikii poa kunywa bia nyumba au sehemu tulivu
Hiyo sasa siyo bar bali ni ''slum''. Unazungumzia hizi hizi bar za sasa au zile za kabla ya world war 1? Au pengine unakwendaga bar za uswazi zenye fujo?Baada ya taarifa kutoka Mwanza ya kuwa kijana ameuliwa na mabaunsa wa Bar, nimeona nitoe elimu kidogo ambayo haitolewi popote
Hii ni elimu ya mtaa
1. Bar sio sehemu ya watu wanyonge.
Ukijua wewe ni mlaini usikanyage bar au night clubs, watakupiga wakuuwe
2. Hakikisha una kampani.
Kampani itakuhakikishia usalama ndo maana matajiri hulipa machawa na wapambe ili kuwa na ulinzi kipaumbele
3 kuwa na silaha iwe ya jadi au ya moto
Bar hasa usiku Kuna ubabe kwaiyo kuwa na mguu wa kuku ni vyema zaidi.
Watu makini Huwa hawaendi bar chukuchuku
4 Kagua milango ya kutokea na kutoroka in case emergency ya fujo ikitokea.
Masela laZima wajue Chocho zote za ku escape labda ukiishiwa pesa na huku ushakunywa bia
5. Kuwa na usafiri au nauli. Sio unalewa pesa zote, wahuni watakufanya vibaya.
6. Achana na mademu wa bar.
Wajanja hatuchukuaji mademu wa bar, hawa ni j
Hatari kwanza wanakuletea maadui usiowajua au hata wao kukudhuru
7 Epuka migogoro isiyo ya laZima.
Usilete usela mavi, bar Kuna wahuni wamepinda na washalewa kukumwaga ubongo hawachelewi
8. Epuka rafiki mpya wa bar
Usijenge sana urafiki na mtu ambaye ndo umekutana nae kwenye pombe
9. Usitafute umaarufu bar, watakuwa wahuni
Kunywa bia, dance, kula ondoka acha misifa
10. Wape tip kiaina hao mabaunsa ili ukizingua wawe upande wako
Soma Pia: Mwanza: Auawa na mabaunsa kisa Tsh 8000
Wewe siyo mlevi ,walevi watanielewa
Hapa nilipo nadaiwa milioni moja na elfu sabini bar tofauti tofauti
Mimi naweza kuwa Nina elfu 50 lakini naenda na wadau tutakunywa hata kufikisha bili ya laki tano tena hizi hizi local beer 2500
Hakuna yenye ustaarabu usijidanganyeHiyo sasa siyo bar bali ni ''slum''. Unazungumzia hizi hizi bar za sasa au zile za kabla ya world war 1? Au pengine unakwendaga bar za uswazi zenye fujo?
Mimi ni mteja wa bar mzuri sana. Valangati zipo lakini siyo kiasi cha kuchukuwa tahadhari ulizoorodhesha. Hali ya bar uliyozungumzia ni zile bar za miaka ya zamani kabisa. Yes, hata siku hizi kuna ugomvi wa hapa na pale, lakini wenye bar wengi wako macho sana. Wanajua bar ikiwa na sifa ya ugomvi wa mara kwa mara inapoteza wateja. Wanajua wanywaji wengi ni watu wasiopenda vurugu ndiyo maana wanaweka walinzi. Bar za siku hizi ukionyesha dalili ya kufanya ugomvi unabebwa juu kwa juu na kuwekwa panapostahili. Hakuna mwenye bar anayejua biashara ambaye atakubali mlevi mmoja mzembe alete kero kwenye bar yake. Halafu kuna kitu umeandika cha hatari sana.. kuwa bar unatakiwa kwenda na silaha......Hakuna yenye ustaarabu usijidanganye
Muda wowote ukiwa bar hata huko Masaki au Mikocheni varangati linazuka tu
Ustaarabu bar haupo kule kunauzwa pombe sio chai
Mkuu Nina wasiwasi kama umetembelea bar nyingi kama unavosemaMimi ni mteja wa bar mzuri sana. Valangati zipo lakini siyo kiasi cha kuchukuwa tahadhari ulizoorodhesha. Hali ya bar uliyozungumzia ni zile bar za miaka ya zamani kabisa. Yes, hata siku hizi kuna ugomvi wa hapa na pale, lakini wenye bar wengi wako macho sana. Wanajua bar ikiwa na sifa ya ugomvi wa mara kwa mara inapoteza wateja. Wanajua wanywaji wengi ni watu wasiopenda vurugu ndiyo maana wanaweka walinzi. Bar za siku hizi ukionyesha dalili ya kufanya ugomvi unabebwa juu kwa juu na kuwekwa panapostahili. Hakuna mwenye bar anayejua biashara ambaye atakubali mlevi mmoja mzembe alete kero kwenye bar yake. Halafu kuna kitu umeandika cha hatari sana.. kuwa bar unatakiwa kwenda na silaha......
Kabisa mkuu sijamwelewa kabisa kwahzo mbinu zake sasa itakua starehe ama ukumbi wa vita 😂😂Walevi kwa kukuza mambo hamjambo. Ulivoelezea ni kama pombe unanywea strait of hormuz
Wanaenda kukaa kuangalia wanao wajua unaanza kuskia bro nipewe moja bas au unaskia na buku niongezee buku nipate mojaMwanaume huna pesa unaenda bar kufanya nini?
Hela imeisha, unaendelea kukaa bar kufanya nini?
Maduka tisa ndo paki ngese sana pale sku moja chupchup mude wangu apgwe chupa imeerushws chupa na wakurya wa nyanshana walikua wanagombana yan staki kukumbuka kule wezi wote ndo wanapga starehe wanaishi mtaa wa msumbijMwingine alipigwa chupa pale maduka 9, aiseee🙌🏾
Nimekubali na nitazidi kukubali kuwa bar zina fujo. Lakini siyo kwa kiwango ulichoweka wewe na zile tahadhari. Haya; umeingia bar na kisu au bastola halafu mlevi chakari akakutuka na kukutapikia, silaha itasaidia nini? Hata akikuzaba kibao, silaha itasadia nini? Mimi nazungumzia kutokana na uzoefu. Kama hutaki kisikia ushauri wangu basi endelea kuingia na silaha kwenye ulevi.Mkuu Nina wasiwasi kama umetembelea bar nyingi kama unavosema
Waulize wamiliki wa hizo bar za kistaarabu watakwambia ugumu wa hiyo biashara
Fujo zinazuka na siyo kila mtu wa kubeba juu juu
Kuhusu kuwa na silaha Aidha ya jadi au ya moto, hii ni laZima
Mwanaume sio vyema kukosa Silaha unapokuwa, laZima uwe na kuongeza nguvu