Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Aisee hii inakera sana utakuta mdada amevaa vizuri na anavutia vizuri tu ila ukimsogelea ukitaka kumuongelesha ile anafungua tu mdomo wake anatoa harufu mbaya ya mdomo tena mbaya mpaka inafikia anaharibu hali ya hewa aisee hii sio mara moja yaani kati ya Maslay quuen 10 ninaoongea nao 8 au 9 wanatoa harufu mbaya ya mdomo hasa hasa hawa wa Saluni hawa ndiyo funga kazi wananuka mdomo na vikwapa pia kuna wa maofisi wanatoa harufu mbaya za mdomo mpaka kero hawa vidada poa ndiyo usiseme wana harufu mbaya sana hawa kuanzia mdomo,jasho mpaka kunako kuleeee