La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 701
- 1,308
kwa mada yako hii inaelekea unapita na wadada wengi
si kwa experience uliyo nayo ya wanuka midomo
si kwa experience uliyo nayo ya wanuka midomo
Wewe haujawahi kukutana nao hao wanuka midomo wanakera sanakwa mada yako hii inaelekea unapita na wadada wengi
si kwa experience uliyo nayo ya wanuka midomo
Na ambao hawajichubui? Tena wanao ongoza Boda boda kunuka. Nao je?Wengi wao vipodozi vikali (cream) hupelekea kutoa harufu mbaya na Kali! Asilimia 95% ya watu wanaochubua ngozi zile kemikali huwafanya watoe harufu ya mwili na kinywa!!