waziri wa mambo ya ndani kuingilia wizara ya michezo na michezo kuingilia wizara ya afya na uchumi.

waziri wa mambo ya ndani kuingilia wizara ya michezo na michezo kuingilia wizara ya afya na uchumi.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Kwa sasa tanzania na shindwa kuelewa ni nani haramu ni nani raisi ni waziri.

Leo mkurugenzi kawa mkuu wa kituo cha polisi majukumu yake.
 
Kwa sasa tanzania na shindwa kuelewa ni nani haramu ni nani raisi ni waziri.

Leo mkurugenzi kawa mkuu wa kituo cha polisi majukumu yake.
huenda usingesusa uchaguzi ungeelewa kirahisi sana gentleman,

hata hivyo,
nadhani ni athariri za kisaikolojia unazopitia baada ya kususia uchaguzi ndizo zinakutesa na kukufanya usielewe jambo rahisi kama hilo. Inshaalah, ukiacha kufuata mkumbo unaweza kupona:1Head:
 
Kilasiku tunasema huyu RAISI Akili Zake ni kisoda na sasa inabidi mkubali Tu , RAISI amekaa na Baraza la mawaziri na amekuja na plan hii ya kuwapa madaraka juu ya wizara tofauti.
 
Back
Top Bottom