DODOMA: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inalenga kuijengea uwezo endelevu Tanzania kuandaa na kuhuisha ramani za msingi, ili kujitegemea katika huduma hizo na hatimaye kuzitoa kwa nchi nyingine za Afrika.
Hayo yamesemwa leo Novemba 3, 2026 jijini Dodoma na Kamishna wa Ardhi, Bw...
Lalamiko langu linahusu Wizara ya Afya kuhusu ukosefu wa mrejesho kwa waombaji waliofanikiwa kupata nafasi ya kushiriki Kongamano la CPHIA litakalofanyika nchini Ethiopia mwezi Novemba.
Wizara ilitoa tangazo la fursa hiyo na kueleza kuwa waombaji watakaofanikiwa kuchaguliwa watagharamiwa na...
| ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
Jengo la Ofisi ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ni moja ya majengo ambayo yamesanifiwa na kujengwa kwa ubora na muonekano maridhawa katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Jengo hili limejengwa kwa usanifu wa kisasa wa ghorofa lenye muonekano wa kuvutia ambao kwa pamoja na...
Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS) tunaomba msaada wa Wizara ya Afya kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo chini ya uongozi wa chuo chetu.
Tunadai stahiki za watumishi wanaosafiri kikazi, hazilipwi, Kiongozi wetu mkuu na Mtu wa Fedha wakitajwa kujilipa katika...
Anonymous
Thread
afya
chuo
malalamiko
mtwara
sayansi
uchunguzi
watumishi
wizara
BAGAMOYO, PWANI
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, leo tarehe 21 Oktoba 2026, imetekeleza ombi la wananchi wa Bagamoyo, mkoani Pwani, la kuoneshwa mipaka ya maeneo yao yaliyopo katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Sanzale, wilayani humo.
Akisimamia na kuelekeza utekelezaji wa zoezi...
Wakuu NIko kwa Mjomba huku ndani ndani 😂, Kuna mtoto wake anasoma darasa la sita (6).
Sasa huyu mpwa kaniletea swali wamepewa homework darasani, nadhani ni somo la Historia au Hostoria ya Tanzania nimsaidie majibu ya homework.
Swali lenyewe linasema hivi " Taja watu walioshirikiana na Mwl...
Habari za wakati huu Wakuu.
Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali.
Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering.
Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
Kama kuna tukio limewakusanya mashoga kwa pamoja basi ni hili la Miss grand international.
Kuanzia hekaheka za kutafuta kura, kindumbwendumbwe cha kumpokea na matukio yaliyoambatana na ushindi huo kwa asilimia kubwa, wanaume walioshiriki wenye uanaume wao ni wachache sana na pengine hata hao...
Nahisi nchi yetu hawa tuliowapa madaraka ni vilaza mpaka makosa wakigundua sio leo.
Asilimia kubwa teknolojia zimewafanya wanafunzi kucheat sana na ndio maana matokeo ya ufahuru ni mkubwa kuliko matokeo ya nchi.
Kuna scientific calculators mpya ambazo kiakili ya kawaida unaweza kuona inafanya...
Ni kimuhemuhe kuona waziri wa michezo na utamaduni kukagua vituo ya polisi huko mwanza kukagua barabara za wizara ujenzi huko mwanza je ni kijiinua au kujali maisha ya wananchi
USSR
Wizara haina muda na utekaji
Wizara haina muda na mauaji
Waziri hutamsikia akizungumzia mkakati uliopo wa kuzuia na kukamata wauaji na watekaji
Wizara haina muda na maslahi ya watumishi wake
Wizara huiskii ikizungumzia mikakati ya uokozi licha ya idara ya zimamoto uokozi kuwa choka mbaya...
Nikiwa kama mdau wa maendeo nchini napenda kujua kwa nini halmashauri ya wilaya ya serengeti mkoani Mara imeruhusu upimaji wa viwanja na Mashamba bila kutoa stakabadhi za EFD wananchi wanabaki na makaratasi ambayo serikali haiyatambui nani yuko nyuma ya hili zoezi gharama ziko juu wananchi...
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) ili kuzidi kusogeza huduma za ardhi kwa wananchi...
Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa kukosa huduma hii muhimu.
Tunaomba Serikali kupitia Wizara ya Maji itusaidie kufuatilia na kukagua mradi...
Anonymous
Thread
kupitia
magu
maji
mkoa
mradi
mwanza
serikali
sima
wilaya
wilaya ya magu
wizarawizara ya maji
Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Hamis Ulega, ameahidi kushirikiana kwa karibu na viongozi pamoja na watumishi ili kuhakikisha majukumu ya Wizara yanatekelezwa kwa ufanisi na hatimaye kufikia malengo na matarajio yaliowekwa na Serikali.
Ulega ameyasema hayo tarehe, 1 Oktoba, 2026 Mtumba...
Nimefurahi kuwa Masanja Kadogosa umeteuliwa kuongoza wizara muhimu sana kwa nchi maana aliyepita alikuwa anazungukwa tu kwa kutokuwa na utalaam wowote kwenye hiyo sekta angalau wewe unauzoefu pengine hutazungukwa kiana.
Sina mashaka na uzoefu wako kwa kuwa ulikuwa uchukuzi wizara inayofanana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.