UTV:Mjadala Makonda kukagua miradi ya wizara zisizo za wizara yake

UTV:Mjadala Makonda kukagua miradi ya wizara zisizo za wizara yake

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Ni kimuhemuhe kuona waziri wa michezo na utamaduni kukagua vituo ya polisi huko mwanza kukagua barabara za wizara ujenzi huko mwanza je ni kijiinua au kujali maisha ya wananchi

USSR
 
hivi wenye majukumu yao wamejisikiaje? natamani kuona waandishi wakiuliza mawaziri ambao jamaa kakagua miradi yao ? na kiprotocol ikoje yaani msafara wake hapo kwenye miradi aliambatana na nani?
 
Apo kuna mambo matatu inawezekana moja likawa sahihi
1. Anatumika kama toilet paper
2. Anaandaliwa kuwa rais
3. Atapewa u pm

Note: zile videos za pm ni michezo ya uyo jamaa refer gwj boy videos sasa inawezekana anatumika kumchafua pm ili apawe u pm
 
Ni kimuhemuhe kuona waziri wa michezo na utamaduni kukagua vituo ya polisi huko mwanza kukagua barabara za wizara ujenzi huko mwanza je ni kijiinua au kujali maisha ya wananchi

USSR
Kuna mdau kasema anatimiza kifungu cha 55 na 58



Utak
​

JF-Expert Member​

Jul 1, 2025 1,221 5,053
Kwa uelewa wangu kisheria,

Chini ya Ibara ya 55 na 58 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mawaziri wote ni wajumbe wa Baraza la Mawaziri na wana wajibu wa pamoja wa kiserikali (Collective Responsibility).

Licha ya kuwa vivuko vipo chini ya Wizara ya Ujenzi, kama Waziri wa Serikali, ana mamlaka ya kukagua na kutoa maagizo kuhusu mradi wowote wa umma unaogharamiwa na serikali, hasa anapofanya ziara maalum kwa niaba ya Mkuu wa Nchi (Rais) kukagua miradi mtambuka ya maendeleo.

Kiprofeshinali, kama kiongozi wa kisiasa (Waziri na Mbunge), wajibu wake kuu ni kusimamia sera, kasi ya maendeleo, na kuhakikisha thamani ya fedha za walipakodi inafikiwa.

Mamlaka yake hapa sio ya kiufundi au kiprofeshinali kama mhandisi wa majini, bali ni ya msukumo wa kisiasa na utendaji (executive/political pressure), akionya watendaji dhidi ya ukurasa wa kiutawala na itifaki zinazochelewesha huduma kwa wananchi huku fedha za umma zikiwa zimeshatumika
 
Mwamba anatamaa sana si bure huenda anaitaka hiyo wizara au ameshaahidiwa kupewa, kwahyo anafanya mazoezi. KATIBA MPYA ndo mtatuzi wa haya KATIBA ambayo itawafanya viongozi kuogopa kiti chake au cha mwingine.
 
hivi wenye majukumu yao wamejisikiaje? natamani kuona waandishi wakiuliza mawaziri ambao jamaa kakagua miradi yao ? na kiprotocol ikoje yaani msafara wake hapo kwenye miradi aliambatana na nani?
Muwe mnafuatilia namna utendaji kazi unavyofanyika na siyo kukurupuka tu
Fungua hiyo link na urudi kuuliza Mchengerwa alikaguaje madarasa na vyuo vya VETA huko Kilimanjaro mwezi Julai mwaka huu wakati si waziri wa Elimu
 
Mmemsahau alipokua meneja wa dar alikua anakagua hadi magwaride
 
Apo kuna mambo matatu inawezekana moja likawa sahihi
1. Anatumika kama toilet paper
2. Anaandaliwa kuwa rais
3. Atapewa u pm

Note: zile videos za pm ni michezo ya uyo jamaa refer gwj boy videos sasa inawezekana anatumika kumchafua pm ili apawe u pm
Muwe mnafuatilia namna utendaji kazi unavyofanyika na siyo kukurupuka tu
Fungua hiyo link na urudi kuuliza Mchengerwa alikaguaje madarasa na vyuo vya VETA huko Kilimanjaro mwezi Julai mwaka huu wakati si waziri wa Elimu
https://www.google.com/url?sa=t&sou...QIGxAB&uoh=1&usg=AOvVaw0UfPmuUP_7t8fC7XXHHdFc
 
Back
Top Bottom