Waziri Mpya Wizara ya ujenzi nakudokeza tu kuwa Tanroad reshuffle hasa Watendaji mikoani.

Mpaina

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
2,620
Reaction score
3,779
Nimefurahi kuwa Masanja Kadogosa umeteuliwa kuongoza wizara muhimu sana kwa nchi maana aliyepita alikuwa anazungukwa tu kwa kutokuwa na utalaam wowote kwenye hiyo sekta angalau wewe unauzoefu pengine hutazungukwa kiana.

Sina mashaka na uzoefu wako kwa kuwa ulikuwa uchukuzi wizara inayofanana na wizara ya ujenzi kimajukumu.Wakala wa Barabara kiukweli toka Amafariki Engineer Patrick Mfugale umefanya nchi ikose kabisa mchora ramani.

Kwa sasa Tanroad inaenda kimungu Mungu tu.Mameja wengine wamejisahau na wengine wameshakuwa wakazi wa mikoa na mtu akishakuwa Mwenyeji kuna mambo mawili au matatu lazima yatokee Tender zenye 10% nyingi,Tender za kujuana na baya zaidi Meneja kukompromise na wakandarasi kwenye ubora na muda wa kutekeleza miradi.

Hivyo iko haja ya mtendaji mkuu kujitathimini yeye na Meneja wake maana wananchi wanajua mengi yanayotendeka.Japo muhimu pia la kuangalia ni suala la ubora wa barabara zinazojengwa maeneo mengi umeshuka mno mno.

Mwisho kabisa nikumbushe kuwa kutokana na barabara kupitishwa kwenye maeneo yenye changamoto za maji na udongo Waziri wa wakati huo aliitaka Tanroad kudesign barabara upya ili kupeleka barabara kwenye maeneo yasiyo na changamoto za kimazingira lakini hilo halipo na badala yake mameja bado wanacompromise.
Tunakutakia kila la kheri kwa kuzingatia changamoto itakayo ikumbuka nchi siku za usoni kimiundo mbinu kutokana Mvua za El Nino.Usisahau kumulika miradi ilyopo Mkoa wa Njombe pia kuna uwongo uwongo mwingi kidogo.
 
U
M
E
T
U
M
W
A
?
 
Ulega alipwaya Sana aisee, Wizara ni kama ilikuwa Kwenye Autopilot

masanja sasa ajitahidi Kuandika Papers vyema za kuseek fund mana Bila hela hamna Kitu anafanya

Tunamtakia kila laheri
 
Hizo wizara inahitaji mtu anae ielewa, true technical person na sio politician
Hayati Magufuli hakuwa Engineer ila alitendea kazi Wizara ya Ujenzi. Katika Wizara hii anatakiwa mtu determined na anayeweza kujifunza haraka. Anatakiwa msimamizi mahiri na kupanga safu yake ya wataalamu vizuri.
Twende mbele turudi nyuma, kwa sasa TANROADS inapumulia masikio. Uzingatiaji wa utaalamu katika kujenga barabara ni wa kiwango cha chini mno kuliko wakati wowote ule tangia TANROADS ilipoanzishwa mwaka 2000.
Kadogosa siyo Engineer lakini ana uzoefu katika masuala ya construction kupitia usimamizi wa ujenzi wa SGR, japo alisaidiwa sana na Eng Mfugale (RIP). Atumie uzoefu huo kuirejesha Wizara na Taasisi zake kwenye mstari. Asiweke siasa na matamko ya kisasa mbele; atumie wataalamu.
All the Best Ngosha; huenda Wizara imerudi nyumbani!
 
Ulega alipwaya Sana aisee, Wizara ni kama ilikuwa Kwenye Autopilot

masanja sasa ajitahidi Kuandika Papers vyema za kuseek fund mana Bila hela hamna Kitu anafanya

Tunamtakia kila laheri
Katika hii Wizara, funds ni kitu kimoja na usimamizi wa hizo funds ni kitu kingine. Hivyo vitu vinatakiwa kwenda pamoja vinginevyo utakuwa na funds ila usimamizi madhubuti utaishia kupata barabara zenye vumbi ya lami badala ya barabara za lami.
 
Nimefurahi kuwa Masanja Kadogosa umeteuliwa kuongoza wizara muhimu sana kwa nchi maana aliyepita alikuwa anazungukwa tu kwa kutokuwa na utalaam wowote kwenye hiyo sekta angalau wewe unauzoefu pengine hutazungukwa kiana.

Sina mashaka na uzoefu wako kwa kuwa ulikuwa uchukuzi wizara inayofanana na wizara ya ujenzi kimajukumu.Wakala wa Barabara kiukweli toka Amafariki Engineer Patrick Mfugale umefanya nchi ikose kabisa mchora ramani.

Kwa sasa Tanroad inaenda kimungu Mungu tu.Mameja wengine wamejisahau na wengine wameshakuwa wakazi wa mikoa na mtu akishakuwa Mwenyeji kuna mambo mawili au matatu lazima yatokee Tender zenye 10% nyingi,Tender za kujuana na baya zaidi Meneja kukompromise na wakandarasi kwenye ubora na muda wa kutekeleza miradi.

Hivyo iko haja ya mtendaji mkuu kujitathimini yeye na Meneja wake maana wananchi wanajua mengi yanayotendeka.Japo muhimu pia la kuangalia ni suala la ubora wa barabara zinazojengwa maeneo mengi umeshuka mno mno.

Mwisho kabisa nikumbushe kuwa kutokana na barabara kupitishwa kwenye maeneo yenye changamoto za maji na udongo Waziri wa wakati huo aliitaka Tanroad kudesign barabara upya ili kupeleka barabara kwenye maeneo yasiyo na changamoto za kimazingira lakini hilo halipo na badala yake mameja bado wanacompromise.
Tunakutakia kila la kheri kwa kuzingatia changamoto itakayo ikumbuka nchi siku za usoni kimiundo mbinu kutokana Mvua za El Nino.Usisahau kumulika miradi ilyopo Mkoa wa Njombe pia kuna uwongo uwongo mwingi kidogo.
Umefurahii kwakuwa ni mgalatia mwenzio na msukuma huyo.
 
Tanroads mikoa ya Manyara,Iringa ,Mbeya Arusha na Kilimanjaro meneja wake na watendaji wao kwenye hizo ofisi zao waondolewe tu!
Ni mzigo,kwa Serikali na wananchi
 
Umefurahii kwakuwa ni mgalatia mwenzio na msukuma huyo.
Hayo ni mawazo yako mimi kwanza sijui ni galatians au la.Pia hata sijawahi kutana naye zaidi ya kumjua katika kazi ya ukurugenzi TRC.Tuwe wakweli mtangulizi wake hakua imara sana anasafia tu watalaam wakati kazi mbaya.Hebu angalia BRT phase II kuna vituo vinazikaribia 1km ili iweje? Angalia pale maeneo ya Amani kukatibia jengo la NSSF barabara imetoka buguruni ilipofika NSSF imefia pale kwa sababu ya kituo kuwa kirefu nafasi imekata inajiuliza kulikuwa na haja gani ya kituo kirefu vile na kufinya eneo la barabara wakati wanajua kushoto hakuna nafasi ya kutosha.
 
Raha ya serikali ya chura aka kizimkazi iba fanya ufisadi ww hutafungwa bali watakuamisha tu. Mm nawashauri ibeni kwa wingi kwakua watanganyika awajielewi kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom