wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. complex31

    Je, Tanzania ni nchi ya hatari kama Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore ilivyoeleza?

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore imeandika maneno makali sani kwa wanachi wao wanapotaka kutembelea Tanzania, Tanzania inayojulikama na wanachi wengi kwamba ni nchi ya amani umoja na upondo ni tofauti ni iliovelezwa na Wizara ya mambo ya nje ya Singapore. Unaweza kujisomea hapa...
  2. Dede 01

    WIZARA YA FEDHA YA MAREKANI YADAI YA KUWA ILIDUKULIWA NA CHINA.

    Habari wakuu! Mwanzoni wa mwezi wa Desemba waziri wa fedha wa Marekani alituma barua bungeni kuarifu ya kuwa wizara yake imedukuliwa yaani (hacked) na mdukuzi anayefadhiliwa na serikali ta China. Inaripotiwa ya kuwa mdukuzi huyo aliweza kupitia nyaraka ambazo hazikuizinishwa na vituo vya kazi...
  3. K

    Paul makonda apewe wizara ya maji mwezi mmoja tu

    Kuna watu hawapendi maneno mengi. Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo. Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu. Akimuondoa mhalifu...
  4. chiembe

    Hivi wizara ya ardhi inapoteua Mahakimu wa mahakama zao huwa inawapa hadhi ya uchifu? Nimekuta wawili hapa Dar wana miaka 10

    Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida. Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja
  5. Escrowseal1

    Ujumbe wangu mahsusi wa chrismas kwa serikali ya Tanzania hasa wizara husika kuhusu ajali za barabarani.

    Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu. Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
  6. S

    Mshahara wa mkemia uanaeanza kazi salary scale ipi na je ni tofauti kwa tbs,gcla tpdc na wizara kwa chief pharmacist.

    Naomb kujuan salary scale ya mkemia kwa tbs,gcla na tpdc,nimr,nm
  7. State Propaganda

    Georgia : Kobakhidze kuwapa tuzo watumishi wizara ya mambo ya ndani waliowekewa vikwazo na Western countries

    Waziri Mkuu wa Georgia, Irakli Kobakhidze, atangaza kwamba maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ambao hivi karibuni wamewekewa vikwazo na Marekani na Uingereza, watapewa tuzo ya heshima ijulikanayo kama Order of Honor. Uamuzi huu, uliohakikishwa wakati wa mkutano wa waandishi wa...
  8. Mindyou

    LGE2024 Wizara ya Katiba yatangaza kuwafunda viongozi wa Serikali za Mitaa kuhusu Utawala Bora

    Wakuu, Tanzania ndio nchi pekee ambayo mtu anapata madaraka kwanza alafu mafunzo yanafuata baadae =========================================================== Wizara ya Katiba na Sheria imetoa elimu ya utawala bora na masuala ya kisheria kwa viongozi wa serikali za mitaa na kamati za usalama...
  9. Dabil

    CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

    Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo. Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
  10. A

    DOKEZO Chuo cha ICOT-Morogoro cha Wizara ya Ujenzi kinatoa elimu dhaifu na hakilipi wakufunzi

    Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana. Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
  11. ngara23

    Mchengerwa anabebwa licha ya kuharibu kila wizara aliyohudumu

    Mh Mchengerwa amekuwa hafanyi vizuri sana kama waziri, ameharibu wizara zote 3 alizohudumu 1. Akiwa wizara ya mali asili na utalii. Huko alitamba na campaign yake ya kuwapeleka Masai wa Ngorongoro huko Msomela Masai waliteseka kutoka kwenye eneo la asili japo kampeni ilikuwa ya kuhama Kwa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Jengo la Wizara ya Ujenzi Lafikia Asilimia 80, Waziri Ulega Aagiza Likamilike kwa Wakati

    JENGO LA WIZARA YA UJENZI LAFIKIA ASILIMIA 80, WAZIRI ULEGA AAGIZA LIKAMILIKE KWA WAKATI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuagiza Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi na Umeme (DTES), Mhandisi, Mwanahamisi Kitogo na Mtendaji Mkuu wa Vikosi vya Ujenzi, Mhandisi, Simeon Machibya kuhakikisha jengo la...
  13. Lord denning

    Akili ni nywele: Wakati Wizara ya Ardhi Bongo wanahangaika na clinic za ardhi, Kenya wameanza kubomoa na kuyajenga upya maeneo yaliyojengwa vibaya

    Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
  14. Roving Journalist

    Waziri Ulega akabidhiwa ofisi na Waziri Bashungwa, Wizara ya Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi, Disemba 08, 2024...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Akabidhiwa Ofisi na Waziri Bashungwa, Wizara ya Ujenzi

    WAZIRI ULEGA AKABIDHIWA OFISI NA WAZIRI BASHUNGWA, WIZARA YA UJENZI. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...
  16. U

    Wizara ya afya na watalam wa afya ya mlaji mnatowa elimu gani kuhusu hili?

    Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia hili kujuwa ukweli na kuchukuwa hatuwa?
  17. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Akabidhiwa Ofisi na Masauni, Wizara ya Mambo ya Ndani

    BASHUNGWA AKABIDHIWA OFISI NA MASAUNI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ambaye Sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo...
  18. Upekuzi101

    Tanapa na wizara ya mali asili na utalii mna mpango gani na biashara ya utalii?

    Salamu kwa wote. Kutokana na kuporomoka kwa dollar, wafanyabiashara ya utalii wamejikuta wakipata hasara kubwa kutokana na exchange rate ya Tanapa kubaki kuwa 2609 Tzs huku thamani ya dollar sokoni ni 2300$. Pamoja na serikali kusisitiza matumizi ya shillingi bado kwenye biashara ya utalii...
  19. Roving Journalist

    Bashungwa aitaka menejimenti ya wizara kuviwezesha vitengo vya mawasiliano kwa umma katika utoaji wa taarifa

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Menejimenti ya Wizara hiyo kusimamia na kuviwezesha vitengo vya Mawasiliano kwa Umma vilivyopo katika Vyombo vya Ulinzi ikiwemo Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji katika utoaji wa taarifa akiamini taarifa ni hitajio la msingi la...
  20. Roving Journalist

    Waziri Ulega akutana na Wakuu wa Taasisi Wizara ya Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi katika Ofisi ndogo za Wakala ya Barabara (TANROADS), leo tarehe 11 Disemba, 2024 Dar es Salaam. Kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha...
Back
Top Bottom