Nimeona hii clip ya Waziri wa Ardhi akiongea na wafanyakazi wa Ardhi wenye tuhuma mbali mbali.
Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio.
Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika?
Hapo ilikusa mtu abebwe masobe msobe ndani ya Defender na ajikute kalalia Segerea...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona kwa siku za karibuni kuona Waziri au Mawaziri wakifanya kazi ya kukagua ama kuzindua ama kutembelea miradi isiyo chini ya wizara zao. Sasa katika utaratibu huu mpya nilikuwa na Maswali kadhaa ila leo nauliza machache.
Je utaratibu huu hauwezi kuleta migogoro ya...
WAZIRI NDEJEMBI AMEMUELEKEZA KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI KUWACHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU WATUMISHI 7 WA WIZARA YA ARDHI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuwachukulia hatua za...
Sehemu yenye mfumo rasmi ndio kipimo tosha cha umahiri. Leo nimeona habari kwamba Jerry Silaa alikuwa ana ziara jimbo la Mkalama kuzindua mradi wa maji, kituo cha afya, na chuo cha ufundi jimbo la Nkalama.
Najua kwamba Wizard hizo zina miradi mingi kiasi kwamba ni ngumu kwa mawaziri wake...
● Itafanyika ndani ya nchi na nje ya nchi
● Itaendeshwa na Tume ya Madini kushirikiana na Soko la Bidhaa Tanzania
● Marekebisho ya Sheria na Kanuni yakamilika
⚫️ Ni utekelezaji wa Rais Samia kukuza biashara ya Tanzanite
Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Madini inarudisha minada ya ndani ya...
Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
RAIS SAMIA AIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA USIMAMIZI MADHUBUTI WA SEKTA
⚫️ Trilioni moja yatengwa kwa ajili ya ununuzi wa dhahabu kupitia BOT
● Shilingi Bilioni 250 zatengwa kama dhamana ya mikopo kwa wafanyabiashara wa dhahabu
●Mwaka 2023 madini yenye thamani zaidi Trilioni mbili yaliuzwa...
Wasalaaam.
Mheshikiwa Raisi wa Tanzania, waziri wa afya, na mamlaka husika za afya naomba mpitie hii uzi
Leo kuna jamaa yangu kanionyesha bidhaa zake anazouza NeoLife. Ila nimegundua kuwa bidhaa hizi zinaweza kuleta matatizo makubwa ya afya nchini.
Kwa sababu gani? Mfano hii bidhaa ya...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani leo tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na kukutana na Viongozi wa Benki hiyo kwa lengo la kuboresha na kukuza mashirikiano baina ya Serikali ya...
Tunaandika ujumbe huu tukiwa na huzuni ya kiwango cha hali ya juu kutokana na yake tunayopitia, sisi ni wastaafu tuliokuwa Watumishi wa Umma ndani ya Wizara ya Ulinzi, tumefanya kazi kwa vipindi tofauti, baadhi ikiwa ni miaka 35 hadi 40 na kuendelea.
Wengi wetu tulikuwa ‘Nursing Assistants’...
Anonymous
Thread
cdf
kuonana
rais
rais samia
samia
stahiki
tayari
tusaidieni
ulinzi
umma
wastaafu
watumishi
wizarawizara ya ulinzi
Ikiwa ni mkakati wa kujenga uelewa kwa wadau wa madini kuhusu utekelezaji wa kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123, leo Oktoba 04, 2024 Wizara ya Madini imeratibu mkutano wa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini uliofanyika jijini Dodoma ambapo elimu kuhusu utekelezaji wa sheria hiyo...
Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara.
Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii imeleta tabia ya kiburi na kutowajibika na mambo ya wa-TZ wa kawaida ktk nchi wanazowakilisha.
Kuna...
Kielelezo cha kufeli kwa Mtanzania au kufeli wa Serikali ya Tanzania ni kwenye Wizara mbili
1. Wizara ya Ardhi
2. Wizara ya Tamisemi.
Kila nikienda majiji makubwa kuanzia Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Arusha na hadi Dodoma nasikitika kwa kuona Nchi hii imefeli kwa sehemu kubwa sana kwenye...
Na akimaliza Kuiunda hii Wizara Mawaziri wake Wakuu Hamisi Mwinjuma (kama Waziri) na Naibu Waziri awe Gerson Msigwa huku Katibu Mkuu wa hiyo Wizara akiwa ni Ali Mayai Tembele na Msemaji wa hiyo Wizara awe Amos Makalla?
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji ili kuleta ufanisi uliokusudiwa.
Dkt. Biteko ametoa agizo hilo wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imehitimisha mafunzo ya siku tatu kwa watumishi wa wizara hiyo kuhusiana na viashiria hatarishi.
Mafunzi hayo yamefanyika jijini Dodoma yakihusisha Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Waratibu wanaosimamia masuala ya viashiria hatarishi kwenye...
Kama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia namna ambavyo hatumtumii kwenye sekta husika...
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar.
Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.