Wizara ya Katambi haina Vision kiasi cha Waziri kupata muda wa kudeal na petty issues?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476

Wizara haina muda na utekaji

Wizara haina muda na mauaji
Waziri hutamsikia akizungumzia mkakati uliopo wa kuzuia na kukamata wauaji na watekaji

Wizara haina muda na maslahi ya watumishi wake

Wizara huiskii ikizungumzia mikakati ya uokozi licha ya idara ya zimamoto uokozi kuwa choka mbaya

Waziri huwezi kuisikia akisema idara ya uokozi imejipangaje na Elinino

Yeye anahangaika na mambo ya Insta, kuita na kusamehe celebrity wa Insta.

Nimsimsikia Mambaz 24 akimtuhumu Waziri kutuma watu. Unajiuliza hiyo ni kazi ya waziri? Licha ya kutokuona makosa ya maana ya Dudubaya kiasi cha Waziri kuacha kudeal na mambo ya msingi, serikali haina watendaji huko chini mpaka iwe ni level ya waziri?

Inasikitisha sana
 
View attachment 3686728

Nonsense 🐒
 
Huyu kijana bado ana akili za kitoto not mentally matured.
 
Nchi imetulia. Maisha yanaenda. Watanzania wanadili na michongo yao usiku na mchana bila noma wala nini. Usalama wa raia na mali zao ni wa uhakika. Unataka afanyeje?
 
View attachment 3686728

Wizara haina muda na utekaji

Wizara haina muda na mauaji
Waziri hutamsikia akizungumzia mkakati uliopo wa kuzuia na kukamata wauaji na watekaji

Wizara haina muda na maslahi ya watumishi wake

Wizara huiskii ikizungumzia mikakati ya uokozi licha ya idara ya zimamoto uokozi kuwa choka mbaya

Waziri huwezi kuisikia akisema idara ya uokozi imejipangaje na Elinino

Yeye anahangaika na mambo ya Insta, kuita na kusamehe celebrity wa Insta.

Nimsimsikia Mambaz 24 akimtuhumu Waziri kutuma watu. Unajiuliza hiyo ni kazi ya waziri? Licha ya kutokuona makosa ya maana ya Dudubaya kiasi cha Waziri kuacha kudeal na mambo ya msingi, serikali haina watendaji huko chini mpaka iwe ni level ya waziri?

Inasikitisha sana
Hivi mnategemea vision gani kwa kiumbe kama huyu? Hii ni takataka kabisa
GhfJRpEacAEgTRK.jpeg
 
Back
Top Bottom