Nchi ya maigizo : Makonda ni waziri wa wizara gani?!

Nchi ya maigizo : Makonda ni waziri wa wizara gani?!

Ccm ina haki ya kutegemea dola kuendelea kuitawala hii nchi, bila ya hivyo haiwezi hata kuwepo kama chama cha kisiasa.

Eti hao ndiyo viongozi waliyomo kwenye hicho chama na kama lazima waendelee kuitawala hii nchi hata baada ya 2030 basi afadhali wananchi wa nchi hii wajitoe muhanga ili kama ni kugawana mbao basi nafuu watu wagawane.
 
Back
Top Bottom