waziri wa wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nchi ya maigizo : Makonda ni waziri wa wizara gani?!

    https://youtu.be/FYBXRFe4JS4?is=ET9l6nWGdw2FMiVn
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania Unakuta pimbi kama huyu ni waziri wa wizara fulani.

    Kuna vitu vinachekesha sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Eti wadau, Huyu atakuwa Naibu waziri wa wizara gani?

    Huyu kajichanganya, kapita kwenye njia ambazo walipa kodi huwa wanapita huku CCM wakinadi kuwa nchi ina barabara zimejengwa kwa kiwango bora sana huku sehemu kubwa ya nchi ikiwa hoi kama hivyo licha ya kelele kuwa wamewaletea maendeleo wananchi. Haya huyu atakuwa wa wizara gani huyu?
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Angella Kizigha ana uwezo wa kuwa Waziri wa Wizara mbili mpaka tatu kwa mpigo

    Huyu mtu ni mashine Anao uwezo wa kuwa waziri wa wizara hata tatu. Napendekeza apewe wizara ya madini, apewe mali asili na wizara ya fedha azichakate fedha vizuri. Kwa uwezo wake mkubwa kabisa wa hali ya juu anaweza hata kuwa Waziri na Katibu Mkuu kwa wakati mmoja. #Chapa watanganyika fimbo...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nani anaestahili kufurahia kupitishwa kwa bajeti ya Wizara Bungeni? Ni Mwananchi au Waziri wa Wizara husika?

    Hii stori Ina ukweli ndani yake,yaani Waziri yoyote bajeti yake ikipita tu Bungeni, ufanya sherehe Sasa najiuliza nani anae staihli kufuraia kupitishwa Kwa bajeti Bungeni? Ni Waziri na watumishi wa wizara au ni sisi WANANCHI tunao letewa huduma zitokanzo na mpitisho wa bajeti hizo? Kama ni...
Back
Top Bottom