Waganda hawana mwandiko wa hivi miandiko ya kiganda inajulikana sana tena kwa banyankole ndio kabisaHuu mwandiko wa Muhoozi Keinurugaba umeutoa wapi?
We unaleta utani kwa mtoto wa mfalme?Huu mwandiko wa Muhoozi Keinurugaba umeutoa wapi?
Una maana tanzania wanu!Kuna vitu vinachekesha sana
View attachment 3660227
Yaani mtu ankusanya maneno ya Kiingereza tu anayaweka pamoja 😭😭Kuna vitu vinachekesha sana
View attachment 3660227
Yule dogo anamwandiko mbaya mno. Kipindi fulani aliniandikia barua ya kirafiki, wakati naisoma macho yangu yalikuwa yanaumia.We unaleta utani kwa mtoto wa mfalme?
Mmh.Yule dogo anamwandiko mbaya mno. Kipindi fulani aliniandikia barua ya kirafiki, wakati naisoma macho yangu yalikuwa yanaumia.
Noma sanaKuna vitu vinachekesha sana
View attachment 3660227
Mtu mmoja anasema huu mwandiko ni wA mtoto wa president, Muhoozi 😂Hahaha this is violence but anyone can write like that 😅