Eti wadau, Huyu atakuwa Naibu waziri wa wizara gani?

Eti wadau, Huyu atakuwa Naibu waziri wa wizara gani?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Huyu kajichanganya, kapita kwenye njia ambazo walipa kodi huwa wanapita huku CCM wakinadi kuwa nchi ina barabara zimejengwa kwa kiwango bora sana huku sehemu kubwa ya nchi ikiwa hoi kama hivyo licha ya kelele kuwa wamewaletea maendeleo wananchi.

Haya huyu atakuwa wa wizara gani huyu?
 
Back
Top Bottom