Ushindi wa Miss grand (Jihan) utumike na Serikali hasa wizara ya Dr. Gwajima kumuelewa Dudu Baya

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
1,222
Reaction score
2,912
Kama kuna tukio limewakusanya mashoga kwa pamoja basi ni hili la Miss grand international.

Kuanzia hekaheka za kutafuta kura, kindumbwendumbwe cha kumpokea na matukio yaliyoambatana na ushindi huo kwa asilimia kubwa, wanaume walioshiriki wenye uanaume wao ni wachache sana na pengine hata hao wanaoweza kuwa wanaume ni washirika wa hao mashoga kwasababu palipo na shoga basha yuko pembeni

Binafsi sipingi mashindana hayo (japo yamejaa ushetani mwingi), lakini kama serikali ingekuwa na watu makini waliotayari kuepusha kizazi hiki na dhahama ya ushoga, hekaheka za hili shindano zinatosha kuwaonyesha ukubwa wa tatizo

Kuna watu watakuja hapa na kusema kuzuia ushoga ni jambo gumu, wengine wanasema kuzidi kuuandika ndio kuueneza, wengine watasema hatuna uhakika na hao mashoga, wengine watasema ni mambo yao wenyewe hatuna haki ya kuwaingilia; lakini wote wanaosema hivyo ni ama hajawahi kukaa na shoga, hajawahi kushuhudia upuuzi wao na azidi kumuomba Mungu yasitokee kwenye familia yake. Ushoga ni uchafu na ni laana!

Nimeitaja serikali kwasababu yenyewe inaouwezo wa ku control vitu vingi

Hawa mashoga ambao ni maarufu wakinyimwa platform angalau kasi ya mashoga kujiamini itapungua na hatimaye watarudi kama zamani kuishi kwa aibu!

Leo hii mashoga hawaoni aibu na wako na ujasiri kabisa kufanya mambo ya kishoga mbele za watu hadi mtu unaona kichefuchefu. Hata hivyo pamoja na yote hayo, eti viongozi wa serikali wanawashirikisha kwenye baadhi ya matukio! Hii ni kuwaongezea confidence

Ni kweli, yanasemwa mengi huku mitaani kuhusu kombania ya vijana wa chama chenye hatamu kuhusiana na hiyo laana, lakini serikali haina budi kujitenga na hiyo laana

Hivi wanapopewa platform inayowaleta kwenye jamii lengo hasa huwa ni nini?

Dudu Baya akiwataja hadharani wanalalama, watetezi kila kona! Hivi ni kwamba wanawake hawaturidhishi kiasi hicho?

Serikali iwanyang'anye platform hawa mashoga! Izuie account zao za mitandao, isiwashirikishe kwenye matukio yanayowaleta kwenye uso wa jamii. Ikifanya haya angalau tutakuwa tumepiga hatua mbele kuliko ilivyo sasa

Miss grand international lilikuwa shindano lililoshabikiwa na kukusanya kijji cha mashoga na kuwaweka pamoja. Na hii imewaongezea kujiamini zaidi kwamba wanaweza kufanikisha jambo.

Ni aibu kwa serikali kushirikiana na mashoga huku wakijinasibu kuupinga ushoga
 
Hawa mashoga ambao ni maarufu wakinyimwa platform angalau kasi ya mashoga kujiamini itapungua na hatimaye watarudi kama zamani kuishi kwa aibu! Leo hii mashoga hawaoni aibu na wako na ujasiri kabisa kufanya mambo ya kishoga mbele za watu

Serikali iwanyang'anye platform hawa mashoga! Izuie account zao za mitandao, isiwashirikishe kwenye matukio yanayowaleta kwenye uso wa jamii. Ikifanya haya angalau tutakuwa tumepiga hatua mbele kuliko ilivyo sasa

Miss grand international lilikuwa shindano lililoshabikiwa na kukusanya kijji cha mashoga na kuwaweka pamoja. Na hii imewaongezea kujiamini zaidi kwamba wanaweza kufanikisha jambo.

Ni aibu kwa serikali kushirikiana na mashoga huku wakijinasibu kuupinga ushoga
Je, serikali inaweza kuwa shoga!!?
Je, kama serikali inaweza kuwa shoga, utaitambuajee kuwa ni shoga!!??

Mfano, kama kuna viongozi wa hiyo serikali ni mashoga na wanadhamini mambo hayo kwa namna yoyote ile (kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwateka/kukamata watu na kuwafira kama njia ya interrogation, hiyo inaweza kuifanya serikali kuwa shoga!!??

Serikali ina mkono kwa hali hii tuliyonayo sasa.
 
modern times modern problems, serikali kwasasa ina wakati gumu sana sioni ikiwa tayari kuingia mgogoro na mabeberu wakati huu.
 
Kama kuna tukio limewakusanya mashoga kwa pamoja basi ni hili la Miss grand international.

Kuanzia hekaheka za kutafuta kura, kindumbwendumbwe cha kumpokea na matukio yaliyoambatana na ushindi huo kwa asilimia kubwa, wanaume walioshiriki wenye uanaume wao ni wachache sana na pengine hata hao wanaoweza kuwa wanaume ni washirika wa hao mashoga kwasababu palipo na shoga basha yuko pembeni

Binafsi sipingi mashindana hayo (japo yamejaa ushetani mwingi), lakini kama serikali ingekuwa na watu makini waliotayari kuepusha kizazi hiki na dhahama ya ushoga, hekaheka za hili shindano zinatosha kuwaonyesha ukubwa wa tatizo

Kuna watu watakuja hapa na kusema kuzuia ushoga ni jambo gumu, wengine wanasema kuzidi kuuandika ndio kuueneza, wengine watasema hatuna uhakika na hao mashoga, wengine watasema ni mambo yao wenyewe hatuna haki ya kuwaingilia; lakini wote wanaosema hivyo ni ama hajawahi kukaa na shoga, hajawahi kushuhudia upuuzi wao na azidi kumuomba Mungu yasitokee kwenye familia yake. Ushoga ni uchafu na ni laana!

Nimeitaja serikali kwasababu yenyewe inaouwezo wa ku control vitu vingi

Hawa mashoga ambao ni maarufu wakinyimwa platform angalau kasi ya mashoga kujiamini itapungua na hatimaye watarudi kama zamani kuishi kwa aibu!

Leo hii mashoga hawaoni aibu na wako na ujasiri kabisa kufanya mambo ya kishoga mbele za watu hadi mtu unaona kichefuchefu. Hata hivyo pamoja na yote hayo, eti viongozi wa serikali wanawashirikisha kwenye baadhi ya matukio! Hii ni kuwaongezea confidence

Ni kweli, yanasemwa mengi huku mitaani kuhusu kombania ya vijana wa chama chenye hatamu kuhusiana na hiyo laana, lakini serikali haina budi kujitenga na hiyo laana

Hivi wanapopewa platform inayowaleta kwenye jamii lengo hasa huwa ni nini?

Dudu Baya akiwataja hadharani wanalalama, watetezi kila kona! Hivi ni kwamba wanawake hawaturidhishi kiasi hicho?

Serikali iwanyang'anye platform hawa mashoga! Izuie account zao za mitandao, isiwashirikishe kwenye matukio yanayowaleta kwenye uso wa jamii. Ikifanya haya angalau tutakuwa tumepiga hatua mbele kuliko ilivyo sasa

Miss grand international lilikuwa shindano lililoshabikiwa na kukusanya kijji cha mashoga na kuwaweka pamoja. Na hii imewaongezea kujiamini zaidi kwamba wanaweza kufanikisha jambo.

Ni aibu kwa serikali kushirikiana na mashoga huku wakijinasibu kuupinga ushoga
Lissu aliwahi kuulizwa kuhusu ushoga akasema hiyo ni "faragha" ya mtu/ watu.
 
na kale kamalaya walikokapa kesi ya uhaini kanaitwa nifer kisha kakachutama, shenzi kabisa ilipaswa wakasalimie 29/10
 
Bado sijaelewa uhusiano wa Rihan kushinda Miss grand na ushoga

Binafsi sikumpigia kura ila nimefurahishwa na ushindi wake, kama mtanzania nimejivunia kuona mtanzania akiiwakilisha nchi kimataifa

Hata wewe mtoa mada ukiamua kuwa bondia, ukaenda kupigana na Tyson, ukamgalazaga sisi wabongo tutakufurahia tu kwa kuliwakilisha taifa,

mbona Samatta alivyoshinda mchezaji bora Africa taifa lote lilijawa nderemo na vifijo 🤷🏽‍♂️
 
Kuna yule kispika sijui kiredio mbona kama kasenge nako? Kuna kipindi alikuwa ana mwanamke ana bonge la tako nikajua rijali ila kwa alichokuwa anafanye pale super dome ni dhahili kabisa mifumo itakuwa imedukuliwa.
 
Bado sijaelewa uhusiano wa Rihan kushinda Miss grand na ushoga

Binafsi sikumpigia kura ila nimefurahishwa na ushindi wake, kama mtanzania nimejivunia kuona mtanzania akiiwakilisha nchi kimataifa

Hata wewe mtoa mada ukiamua kuwa bondia, ukaenda kupigana na Tyson, ukamgalazaga sisi wabongo tutakufurahia tu kwa kuliwakilisha taifa,

mbona Samatta alivyoshinda mchezaji bora Africa taifa lote lilijawa nderemo na vifijo 🤷🏽‍♂️
Umiss na kushinda kwa huyo mlimbwende sio tatizo, issue nasikia kwenye mapokezi waliorganize na kwenda kumpokea wengi walikuwa ******* wakiongozwa na mjomba chok0
 
Kaka kua na heshima basi unamanisha na mimi shoga jiheshimu basi takukata mabanzi dogo, kwenu hamna wakumbwa?
 
Umiss na kushinda kwa huyo mlimbwende sio tatizo, issue nasikia kwenye mapokezi waliorganize na kwenda kumpokea wengi walikuwa ******* wakiongozwa na mjomba chok0
Anhaa kama ni hivo hilo nalo wakaliangalie
 
Kama kuna tukio limewakusanya mashoga kwa pamoja basi ni hili la Miss grand international.

Kuanzia hekaheka za kutafuta kura, kindumbwendumbwe cha kumpokea na matukio yaliyoambatana na ushindi huo kwa asilimia kubwa, wanaume walioshiriki wenye uanaume wao ni wachache sana na pengine hata hao wanaoweza kuwa wanaume ni washirika wa hao mashoga kwasababu palipo na shoga basha yuko pembeni

Binafsi sipingi mashindana hayo (japo yamejaa ushetani mwingi), lakini kama serikali ingekuwa na watu makini waliotayari kuepusha kizazi hiki na dhahama ya ushoga, hekaheka za hili shindano zinatosha kuwaonyesha ukubwa wa tatizo

Kuna watu watakuja hapa na kusema kuzuia ushoga ni jambo gumu, wengine wanasema kuzidi kuuandika ndio kuueneza, wengine watasema hatuna uhakika na hao mashoga, wengine watasema ni mambo yao wenyewe hatuna haki ya kuwaingilia; lakini wote wanaosema hivyo ni ama hajawahi kukaa na shoga, hajawahi kushuhudia upuuzi wao na azidi kumuomba Mungu yasitokee kwenye familia yake. Ushoga ni uchafu na ni laana!

Nimeitaja serikali kwasababu yenyewe inaouwezo wa ku control vitu vingi

Hawa mashoga ambao ni maarufu wakinyimwa platform angalau kasi ya mashoga kujiamini itapungua na hatimaye watarudi kama zamani kuishi kwa aibu!

Leo hii mashoga hawaoni aibu na wako na ujasiri kabisa kufanya mambo ya kishoga mbele za watu hadi mtu unaona kichefuchefu. Hata hivyo pamoja na yote hayo, eti viongozi wa serikali wanawashirikisha kwenye baadhi ya matukio! Hii ni kuwaongezea confidence

Ni kweli, yanasemwa mengi huku mitaani kuhusu kombania ya vijana wa chama chenye hatamu kuhusiana na hiyo laana, lakini serikali haina budi kujitenga na hiyo laana

Hivi wanapopewa platform inayowaleta kwenye jamii lengo hasa huwa ni nini?

Dudu Baya akiwataja hadharani wanalalama, watetezi kila kona! Hivi ni kwamba wanawake hawaturidhishi kiasi hicho?

Serikali iwanyang'anye platform hawa mashoga! Izuie account zao za mitandao, isiwashirikishe kwenye matukio yanayowaleta kwenye uso wa jamii. Ikifanya haya angalau tutakuwa tumepiga hatua mbele kuliko ilivyo sasa

Miss grand international lilikuwa shindano lililoshabikiwa na kukusanya kijji cha mashoga na kuwaweka pamoja. Na hii imewaongezea kujiamini zaidi kwamba wanaweza kufanikisha jambo.

Ni aibu kwa serikali kushirikiana na mashoga huku wakijinasibu kuupinga ushoga
kwakweli hali ni mbaya sana nimeona zile video za michicha dah...ila katika hili sijui la miss nn naona kama Gwajima mama kajiweka mbali
 
Attachments

  • oardefault.jpg
    oardefault.jpg
    68.8 KB · Views: 9
Back
Top Bottom