Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Unautaka weuweewenzako hao
Unautaka weuweewenzako hao
Ndio ilikua ivyo?wenzako hao
Dogo unapenda sana neno "kupigwa miti". Utakuwa sio mzima wewe, lakini utafanyaje maana ndio sera ya chama chenu!lissu aliwahi kukupiga miti mbona hujasema ili kukwepa aibu ya wapiga miti wako lumumba.
Je wewe binafsi una maoni gani kuhusu hiyo statement ya Lissu na kuhusu serikali kuwapa platform mashoga?Lissu aliwahi kuulizwa kuhusu ushoga akasema hiyo ni "faragha" ya mtu/ watu.
Umeweka unspecified allegations ambazo sipo tayari kuziongelea kwasababu mimi sio "akili kubwa"! Ahahahahaha!!Je wewe binafsi una maoni gani kuhusu hiyo statement ya Lissu na kuhusu serikali kuwapa platform mashoga?
Vipi kuhusu serikali kushiriki moja kwa moja kwenye vitendo vya kishoga wakitumia polisi kufira watu na kuwarekodi kama blackmail bargain?
Sijapinga ushindi wa Jihan wala Jihan kama Jihan sijasema nina tatizo naeBado sijaelewa uhusiano wa Rihan kushinda Miss grand na ushoga
Binafsi sikumpigia kura ila nimefurahishwa na ushindi wake, kama mtanzania nimejivunia kuona mtanzania akiiwakilisha nchi kimataifa
Hata wewe mtoa mada ukiamua kuwa bondia, ukaenda kupigana na Tyson, ukamgalazaga sisi wabongo tutakufurahia tu kwa kuliwakilisha taifa,
mbona Samatta alivyoshinda mchezaji bora Africa taifa lote lilijawa nderemo na vifijo 🤷🏽♂️
Unspecified? Hata hii topic inayojadiliwa na maelezo kuhusu ushiriki wa machoko kwenye mambo ya u'miss bado unahitaji more specifications?Umeweka unspecified allegations ambazo sipo tayari kuziongelea kwasababu mimi sio "akili kubwa"! Ahahahahaha!!
Ni bahati mbaya hujui unashabikia nini unaponda nini. Kwa taarifa yako, chama chochote cha "Kidemokrasia* na chenye uanachama wa Vyama vya Kidemokrasia Duniani na chama chenu cha Chadema kikiwemo, vinaamini katika Ushoga na Usagaji.Unspecified? Hata hii topic inayojadiliwa na maelezo kuhusu ushiriki wa machoko kwenye mambo ya u'miss bado unahitaji more specifications?
This time around chawa hizo Ahahahahaha mtaziimba sana.
Unavyohangaika na uchawa hapo Lumumba unadhani kila anayepinga ujahili wa Samia yuko affiliated na vyama vya siasa? You must be very stupid.Ni bahati mbaya hujui unashabikia nini unaponda nini. Kwa taarifa yako, chama chochote cha "Kidemokrasia* na chenye uanachama wa Vyama vya Kidemokrasia Duniani na chama chenu cha Chadema kikiwemo, vinaamini katika Ushoga na Usagaji.
Nenda kajifunze hilo ulielewe vizuri na ndio maana rafiki Mkubwa wa Lissu ni Wakili Msomi wa Mashoga na Wasagaji aitwaye AMSTERDAM! Sijui unalijua hilo?
Mimi nipo Jijini Mwanza na nakupenda Chama cha Mapinduzi tangu enzi za Mwl. Nyerere hadi leo, kesho na keshokutwa.Unavyohangaika na uchawa hapo Lumumba unadhani kila anayepinga ujahili wa Samia yuko affiliated na vyama vya siasa? You must be very stupid.
Watu wanapambania kuondoa uozo uliojipachika ikulu na si vinginevyo.
Wanaume wa Darwenzako hao
Watu wana muda!!!
Mama zao walishawakatia tamaaNenda kawasemee kwa mama zao.