“Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?”
Azim...
Ushindi huu wa Simba sports club uende na nderemo na vifijo week hii nzima, tubishane sana na watani zetu, tutukanane kama kawaida yetu, kisitokee kitu chochote cha kisiasa kututoa kwenye reli.
Yani week hii nzima ni week ya kifootball kama kawaida yetu watanzania tujikite humo, hayo mengine ya...
Ushindi wa ICC ni pigo kubwa sana kwa samia na genge lake kwasababu lazima ICC imkamate na kumshitaki ili kudhihirisha ushind huo sio wa bure. Take it or ignore it but the repercussions will reveal in the future date.
Kama kuna tukio limewakusanya mashoga kwa pamoja basi ni hili la Miss grand international.
Kuanzia hekaheka za kutafuta kura, kindumbwendumbwe cha kumpokea na matukio yaliyoambatana na ushindi huo kwa asilimia kubwa, wanaume walioshiriki wenye uanaume wao ni wachache sana na pengine hata hao...
Habari zenu wanajamvi.
Nikiwa mmoja wa jopo la wanasheria wa Yanga tumepeleka rufaa TFF kwenye kitengo husika kupinga ushindi wa Simba katika Dabi ya kariakoo iliyopigwa dimba la uhuru octoba kumi mwaka huu.
Badda ya kufanya uchunguzi makini na kukusanya ushahidi usio na shaka tumegundua kuna...
Ni watangazaji wa kipindi cha good morning wwameongea kwa hisia sana na kushangazwa kwamba licha ya kutokea tatizo kubwa ambapo watanzania wenzetu 32 wamefariki kwa ajali mbaya Moro alafu hakuna anayewajibika
Badala yake watanzania na vyombo vya habari wako bize kujadili ushindi wa simba na...
CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, kupitia acc yake ya insta wametoa pongezi kwa jihan kwa kuliwakilisha vyema taifa, mbele ya mataifa 79, si mchezo.
Mambo Madogo kama haya upinzani wanayadharau lakini yana mana kubwa go tanzania go my country tumejitolea kupambania till last breath.
Go forward our...
CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, kupitia acc yake ya insta wametoa pongezi kwa jihan kwa kuliwakilisha vyema taifa, mbele ya mataifa 79, si mchezo.
Mambo Madogo kama haya upinzani wanayadharau lakini yana mana kubwa go tanzania go my country tumejitolea kupambania till last breath.
Go forward our...
Ndugu zangu Watanzania,
Nilishasema sana Humu Jukwaani Popote Pale utakapoona Ushindi wa Jambo lolote lile katika Taifa letu nje ya Tanzania na kimataifa ama ndani ya Nchi yetu basi tambua ya Kuwa Kuna Mkono wa Rais Samia Nyuma ya Ushindi Huo.
Sasa Niffer Kwa Kinywa Chake Amemiminaaa Sifa...
Watanzania ni moja ya watu walio active sana mitandaoni Africa,
Ushindi wa Jihan hauathiri maisha yao lakini wamepush hadi kimataifa.
Nguvu kama hii ikitumika kumpazia Sauti hata Tundu Lisu tu anaweza achiwa mara moja.
Kwa umoja huu wanaweza kudai mabadiliko kuanzia kila kona.
Lakini...
Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili.
Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM.
Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29.
Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM?
Au kazi hii inaweza kumgharimu...
Kwa hakika Tanzania imetikisa Dunia, taji la miss Grand sio dogo, bila juhudi za serikali yetu tukufu tusingeweza kufanikisha hili, niwashukuru kwa dhati watu maarufu, niffer, malisa_gj na wengine kwa kufanikisha hili jambo kwa kueleza wananchi namna ya kupiga kura.
Ni wakati wa mataifa kuona...
Bila shaka kila mpenda haki anajua kuwa tarehe 29/10/2026 itakuwa ni siku ya kuwakumbuka mashujaa wetu waliopambana kwa ajili ya ukombozi wa Tanganyika lakini bahati mbaya wakauwawa na hii serikali ya kikoloni
Ili kuwaenzi hawa wazalendo yafaa tupeane mbinu za kisasa za kukinukisha ili wakoloni...
Leo imekuja siku ya furaha kwa Max Verstappen baada ya kushinda (P1) Bahrain GP uko Malaysia.
Ikumbukwe, mara ya mwisho mwamba kushika P1 ni Abu Dhabi GP, December 2025.
Nafasi ya pili ni Kimi na ya tatu Hamilton.
Mvua imezingua sana mwanzoni na ilipelekea Russell kua DNF baada ya gari...
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa motisha ya kifedha kwa timu za KMKM na KVZ FC ambazo zinaiwakilisha Zanzibar katika mashindano ya klabu barani Afrika yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Rais Mwinyi ameahidi kila timu kupata shilingi milioni tano (TSh...
Jaribu kuwaza Mbowe ndo angekua Mwenyekiti 2025.
Chadema wangepewa Wabunge 20 , alafu business as usual!!.
Mbowe Mafanikio yake sio kua Kua Kiongozi, Mafanikio yake yalijengwa kwenye Kumiliki Mali, Kua na Connections na Serikali !!.
Lissu kauthibitishia UMMA wa Watanzania kua, Yeye anawapenda...
Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
aibu
asilimia
ccm
demokrasia
jaji
jaji warioba
katiba
katiba mpya
kauli
kuhusu
makubaliano
mchango
mkutano
mpya
muhtasari
siri
uchaguzi
uchambuzi
uhaini
ukweli
ukweli wa
ushindi
vifo
vifo vya uchaguzi
wimbi
Rais Hakainde Hichilema alitangazwa mshindi kwa asilimia sitini, lakini ushindi huo ulizua mara moja mgogoro mkubwa wa kikatiba nchini Zambia.
Tume ya uchaguzi ilisitisha ujumlishaji wa kura kwa saa sita huku kukiwa na ripoti za mashambulizi pamoja na fomu zisizohakikiwa.
Kiongozi mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.