Rasmi:Yanga yakata rufaa TFF kupinga ushindi wa Simba kwenye Dabi ya kariakoo iliyopigwa tarehe 10/10/2026.

Status
Not open for further replies.

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
4,253
Reaction score
5,789
Habari zenu wanajamvi.

Nikiwa mmoja wa jopo la wanasheria wa Yanga tumepeleka rufaa TFF kwenye kitengo husika kupinga ushindi wa Simba katika Dabi ya kariakoo iliyopigwa dimba la uhuru octoba kumi mwaka huu.

Badda ya kufanya uchunguzi makini na kukusanya ushahidi usio na shaka tumegundua kuna taratibu kadhaa zilikiukwa kabla na wakati wa mchezo huo kinyume na miongozo ya FIFA pamoja na TFF.

(a)Bodi ya ligi kuamua mechi hiyo ichezwe uwanja wa uhuru badala ya uwanja wa Isamuyo.

Ndugu zangu wana yanga na wapenda michezo kwa ujumla tunafahamu timu ya Simba ilichagua uwanja wa Isamuyo kuwa uwanja wake wa nyumbani hivyo basi Dabi ilitakiwa ichezwe kwenye uwanja huo.
Kitendo cha bodi ya ligi kuhamisha mchezo hakikufusta utaratibu na miongozo ya TFF hii ilisababisha timu yetu ya Yanga iathirike kisaikolijoa kwani tulipanga kutumia jumba la maajabu kipindi cha mapumziko.

(b)Magori kuongoza maandilizi ya timu ya Simba kuelekea kwenye Dabi kinyume na maagizo ya BMT.

Baraza la michezo la Taifa(BMT) lilitoa maagizo kuwa Simba unapaswa kufuata katiba iliyofanyiwa marekebisho ambayo inatambulika na BMT kwa muktadha huo mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu alipaswa kusimamia maandalizi yote ya Simba kuelekea kwenye mechi hiyo.
Haiwezekani watu wasio na mamlaka yoyote ya kisheria waendeshe na kusimamia timu

(c)Rushwa na utakatishaji wa pesa.

Kwenye mechi hiyo tuna ushahidi wa kutosha kuonyesha kuwa ndugu Mohamed Dewji 'MO' aliahidi kutoa zawadi ya bilioni moja ikiwa Simba atapata ushindi wakati wa mapumziko MO alipigwa simu na kuongeza tena milioni 700 .

Sisi kama wanasheria tumepitia mkataba yote ya wachezaji wa Simba iliyopo TFF hakuna kipengere kinachoonyesha ahadi hiyo.

(d)Kambi ya Simba Afika kusini.

Hili ni jambo tunalolilalamikia haiwezekani wakaweke Kambi nje ya nchi kujiandaa na Dabi kinyume na ibara ya 567 kifungu kidogo cha (iv) kilichowekwa na FIFA.
Kuna wasiwasi mkubwa kwenye Kambi hiyo wachezaji wa Simba walitumia vyakula visivyofaa na viliyokatazwa kutumiwa na wachezaji.

Ndugu zangu wana yanga tunawaomba muwe watulivu kipindi hiki wakati kitengo cha wanasheria wa timu kinapambania haki na maslahi yetu.

Wenu,
Advocate ,
NgerukeAbra Mwalubadu.

'FOREVER INFRONT BACK COOKING SPOON'.
 
Umenipotezea mda wangu kusoma hii takataka ,nimeacha kumchakaza mama J mtoto wa kisubi kisa huu ujinga wako ulaaniwe😭😭😭
 
Mambo mengine ni aibu tu.!

Kwahiyo Yanga wanaona Simba hawawezi kuwafunga? Kwamba Mungu anatokea kijijini kwao Jangwani.
 
Habari zenu wanajamvi.

Nikiwa mmoja wa jopo la wanasheria wa Yanga tumepeleka rufaa TFF kwenye kitengo husika kupinga ushindi wa Simba katika Dabi ya kariakoo iliyopigwa dimba la uhuru octoba kumi mwaka huu.

Badda ya kufanya uchunguzi makini na kukusanya ushahidi usio na shaka tumegundua kuna taratibu kadhaa zilikiukwa kabla na wakati wa mchezo huo kinyume na miongozo ya FIFA pamoja na TFF.

(a)Bodi ya ligi kuamua mechi hiyo ichezwe uwanja wa uhuru badala ya uwanja wa Isamuyo.

Ndugu zangu wana yanga na wapenda michezo kwa ujumla tunafahamu timu ya Simba ilichagua uwanja wa Isamuyo kuwa uwanja wake wa nyumbani hivyo basi Dabi ilitakiwa ichezwe kwenye uwanja huo.
Kitendo cha bodi ya ligi kuhamisha mchezo hakikufusta utaratibu na miongozo ya TFF hii ilisababisha timu yetu ya Yanga iathirike kisaikolijoa kwani tulipanga kutumia jumba la maajabu kipindi cha mapumziko.

(b)Magori kuongoza maandilizi ya timu ya Simba kuelekea kwenye Dabi kinyume na maagizo ya BMT.

Baraza la michezo la Taifa(BMT) lilitoa maagizo kuwa Simba unapaswa kufuata katiba iliyofanyiwa marekebisho ambayo inatambulika na BMT kwa muktadha huo mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu alipaswa kusimamia maandalizi yote ya Simba kuelekea kwenye mechi hiyo.
Haiwezekani watu wasio na mamlaka yoyote ya kisheria waendeshe na kusimamia timu

(c)Rushwa na utakatishaji wa pesa.

Kwenye mechi hiyo tuna ushahidi wa kutosha kuonyesha kuwa ndugu Mohamed Dewji 'MO' aliahidi kutoa zawadi ya bilioni moja ikiwa Simba atapata ushindi wakati wa mapumziko MO alipigwa simu na kuongeza tena milioni 700 .

Sisi kama wanasheria tumepitia mkataba yote ya wachezaji wa Simba iliyopo TFF hakuna kipengere kinachoonyesha ahadi hiyo.

(d)Kambi ya Simba Afika kusini.

Hili ni jambo tunalolilalamikia haiwezekani wakaweke Kambi nje ya nchi kujiandaa na Dabi kinyume na ibara ya 567 kifungu kidogo cha (iv) kilichowekwa na FIFA.
Kuna wasiwasi mkubwa kwenye Kambi hiyo wachezaji wa Simba walitumia vyakula visivyofaa na viliyokatazwa kutumiwa na wachezaji.

Ndugu zangu wana yanga tunawaomba muwe watulivu kipindi hiki wakati kitengo cha wanasheria wa timu kinapambania haki na maslahi yetu.

Wenu,
Advocate ,
NgerukeAbra Mwalubadu.

'FOREVER INFRONT BACK COOKING SPOON'.
Mimi Yanga ila huu ni ufala
 
Hiyo COOKING SPOON ndo imeniuma zaidi
 
Yanga tuondoleeni aibu hii,futeni kesi ya kijinga,si vibaya kuwaachia simba kidogo wacheke angalau wapate faraja tulisha wafunga mno mpaka walichanganyikiwa!
Mkuu huyo mleta uzi kalewa tu ule ushindi ambao hawakuutarajia wa mabao mawili, kwa hamna ukweli hapo.

Vyote alivyoviandika havina hata mantiki.
 
Habari zenu wanajamvi.

Nikiwa mmoja wa jopo la wanasheria wa Yanga tumepeleka rufaa TFF kwenye kitengo husika kupinga ushindi wa Simba katika Dabi ya kariakoo iliyopigwa dimba la uhuru octoba kumi mwaka huu.

Badda ya kufanya uchunguzi makini na kukusanya ushahidi usio na shaka tumegundua kuna taratibu kadhaa zilikiukwa kabla na wakati wa mchezo huo kinyume na miongozo ya FIFA pamoja na TFF.

(a)Bodi ya ligi kuamua mechi hiyo ichezwe uwanja wa uhuru badala ya uwanja wa Isamuyo.

Ndugu zangu wana yanga na wapenda michezo kwa ujumla tunafahamu timu ya Simba ilichagua uwanja wa Isamuyo kuwa uwanja wake wa nyumbani hivyo basi Dabi ilitakiwa ichezwe kwenye uwanja huo.
Kitendo cha bodi ya ligi kuhamisha mchezo hakikufusta utaratibu na miongozo ya TFF hii ilisababisha timu yetu ya Yanga iathirike kisaikolijoa kwani tulipanga kutumia jumba la maajabu kipindi cha mapumziko.

(b)Magori kuongoza maandilizi ya timu ya Simba kuelekea kwenye Dabi kinyume na maagizo ya BMT.

Baraza la michezo la Taifa(BMT) lilitoa maagizo kuwa Simba unapaswa kufuata katiba iliyofanyiwa marekebisho ambayo inatambulika na BMT kwa muktadha huo mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu alipaswa kusimamia maandalizi yote ya Simba kuelekea kwenye mechi hiyo.
Haiwezekani watu wasio na mamlaka yoyote ya kisheria waendeshe na kusimamia timu

(c)Rushwa na utakatishaji wa pesa.

Kwenye mechi hiyo tuna ushahidi wa kutosha kuonyesha kuwa ndugu Mohamed Dewji 'MO' aliahidi kutoa zawadi ya bilioni moja ikiwa Simba atapata ushindi wakati wa mapumziko MO alipigwa simu na kuongeza tena milioni 700 .

Sisi kama wanasheria tumepitia mkataba yote ya wachezaji wa Simba iliyopo TFF hakuna kipengere kinachoonyesha ahadi hiyo.

(d)Kambi ya Simba Afika kusini.

Hili ni jambo tunalolilalamikia haiwezekani wakaweke Kambi nje ya nchi kujiandaa na Dabi kinyume na ibara ya 567 kifungu kidogo cha (iv) kilichowekwa na FIFA.
Kuna wasiwasi mkubwa kwenye Kambi hiyo wachezaji wa Simba walitumia vyakula visivyofaa na viliyokatazwa kutumiwa na wachezaji.

Ndugu zangu wana yanga tunawaomba muwe watulivu kipindi hiki wakati kitengo cha wanasheria wa timu kinapambania haki na maslahi yetu.

Wenu,
Advocate ,
NgerukeAbra Mwalubadu.

'FOREVER INFRONT BACK COOKING SPOON'.
Acha wana Simba nao wafurahie kidogo walishalia sana sana nao wana mioyo ya Nyama kama binadamu wengine.
 
Nimecheka hapo kwenye vyakula visivyofaa...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom