Formula 1 GP: Max Verstappen leo Kashinda Bahrain GP. Ni ushindi wake wa Kwanza kwa msimu wa 2026.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Leo imekuja siku ya furaha kwa Max Verstappen baada ya kushinda (P1) Bahrain GP uko Malaysia.
1528.jpg

Ikumbukwe, mara ya mwisho mwamba kushika P1 ni Abu Dhabi GP, December 2025.
1530.jpg

Nafasi ya pili ni Kimi na ya tatu Hamilton.
1529.png

Mvua imezingua sana mwanzoni na ilipelekea Russell kua DNF baada ya gari (Mercedes) kuzingua.
1531.jpg

Game Bado gumu, ingawa Kimi ana nafasi nzuri zaidi. Msimamo huko hivi:
1532.png

Tukutane Singapore, weekend ijayo.
 
Hamilton leo kanifurahisha sana,sikutegemea kama angepata hata nafasi ya 5, ila alionyesha uvumilivu mkubwa sana, maana wenzie walibadilisha tyre ila bado akakomaa na soft,
 
Watu walikimbilia wet. Sema Ile mvua imepelekea kua chaos.
 
Ni kweli kabisa, maana walioanza ja soft wote lap ya kwanza ama kwenye ile formation lap walibadilisha, ila mwishoni karibia wote walimaliza na soft, mbio za vurugu vile huwa ninazopenda sana, mbio za namna hii tumezoea kuziona Mexico na Brazil.
 
Me Monaco naipenda. Hii Bahrain haitabiriki, Kuna race iliwahi Kuna na 50 degrees joto. Watu walikua wanaishia njiani. Cha kufia nini
 
Back
Top Bottom