Niffer, Dada mwenye ushawishi mkubwa; je, ataweza washawishi vijana kurudisha mahaba kwa CCM?

Niffer, Dada mwenye ushawishi mkubwa; je, ataweza washawishi vijana kurudisha mahaba kwa CCM?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,332
Reaction score
4,822
Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili.

Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM.

Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29.

Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM?

Au kazi hii inaweza kumgharimu kama shilole?

Mnamwonaje wadau
 
Nilikuwa nasikiliza matangazo ya UFM redio Jana kabla ya derby kuanza akina Kawambwa na wenzake wanaulizana kwann watanzania wamepunguza mahaba na mpira wa miguu maana uwanja ulikuwa tupu tofauti na miaka ya nyuma..

Kimoyomoyo nikajisemea Hawa matangazaji ni maboya sana Ina maana hawajui kwamba Oct 29 ndio imesababisha yote haya?
 
Back
Top Bottom