Niffer, Dada mwenye ushawishi mkubwa; je, ataweza washawishi vijana kurudisha mahaba kwa CCM?

Niffer, Dada mwenye ushawishi mkubwa; je, ataweza washawishi vijana kurudisha mahaba kwa CCM?

Kusema huyo dada ana ushawishi ni uongo ,huyo anapostiwe na hivi vicontent creators uchwara ,kuna wanaume kama mabinti yaani wanavyotoa promo kama wanalipwa.

Kuna page ya mwanachuo family ,inahusu mambo ya chuo ila waacha mambo ya maana eti wanamfananisha na Diamond 🤣🤣..Huyo dada yao anajulikana huko Dar madukani tu ,wanampa kichwa hasa wanaume kazi kusifia wanajua influence hawa au wanataka pesa za kusifia.
 
Makubwa gani malaya tu huyo
Hapana kaka ,wakati wahenga wanasema mpe jina baya mbwa ili auwawe basi isiwe kwa sisi binadamu .

Sio malaya ,sikatai kuwa anaoringanishwa nao bado hajawafikia ila ukweli ni kuwa anakuja juu na lolote kwake linawezekana .

Sina jambo ninalofaidika kwake kusema hivi ila kuna muda tujaribu kumkubali mtu hata kama tunamchukia au katuzidi chochote ,namjua akiwa primary huko kwao kagera ,namjua akiwa mama ntilie ,namjua akiwa mwanafunzi UDSM na magumu yote aliyopitia mpaka kutokumaliza lakini namjua akiwa jela kwa kesi ya uhaini .

Ifike hatua tusimseme mwanamke yeyote vibaya kwasababu tu ni mwanamke basi apewe jina la umalaya haiko hivyo kwake na sidhani kama inaweza kuwa .
 
Mpumbavu mwingine huyu hapa.
Tena Moja Kati ya watu wapumbavu waliochangia niondoke kwenye kundi la wapumbavu ni wewe, unajidai huipendi ccm na Samia lakin mplira na wasanii na miziki inaodhaminiwa na ccm mnaipenda, mna ubongo wa mende ndio mana Mimi nimeamua niache unafiki, kama kweli mnaichukia ccm ichukieni na mambo yake yote tuone kama hamjaenda kuishi PORINI kama kenge
 
Ana ushawishi kwa wapumbavu naatahira kama wewe... Hivi kwa mtu mwenye akili zake timamu anaweza hata kufuatilia upuuzi wa huyo ***** wa Samia?. Naona mantiki ya ushawishi inakosa maana kabisa ... Haya mambo kayaandike Facebook na TikTok Hilo ..ndiko matahira wenzo wamwjaa... Mfck
 
Ni suala la mda tuu, kama Mimi nimerudisha mahaba yangu kwa ccm, wote tutarudi, ni suala la mda tu kila mtu ni ccm mambo mengine haya ni kufuata mkumbo tu


Wakirudi CCM kizazi chao kitakuwa cha ajabu sana. Utawala wa wizi na wajinga jinga hivi
 
niffer anaushawishi kwa mabongolala kama mwashamba,kavulata,tlatlaaah,na taka taka nyingine
 
Back
Top Bottom