Confirmed 207Samia ana IQ ya ngapi?
Thank God nilifanya IQ Test nikapata above hiyo 75%Watanzania wengi wana IQ ya 75 kushuka chini, inawezekana hao wenye IQ ya 75 kushuka chini wakafika 75%
Kwani kafanyeje mbona ata cjui kinachoendelea?Huyu dada hana ushawishi kwa watu wenye akili..anapiga makelele tu....
Yaani wewe na akili zako ushawishiwe na huyo dada ..aisee...
Chama dume kina kazi kubwa sana ...
Kwenye App?😂😂😂😂😂Thank God nilifanya IQ Test nikapata above hiyo 75%
Ndo nani huyo ? Au yule aliyecheza wimbo wa samuya akawekwa lumande?Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili.
Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM.
Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29.
Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM?
Au kazi hii inaweza kumgharimu kama shilole?
Mnamwonaje wadau
Yeah.Kwenye App?😂😂😂😂😂