Niffer, Dada mwenye ushawishi mkubwa; je, ataweza washawishi vijana kurudisha mahaba kwa CCM?

Ni ngumu kufanikiwa kwenye io kazi kwa njia anazotumia ye na wenzake wanaofanya hivyo. Wapo direct sana, kitu ambacho watu hawakitaki. Wangetumia njia za kona kona ambazo baada ya muda wananchi wenyewe wangeshtuka kuona serikali dizain kama haina tatizo
 
Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili.

Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM.

Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29.

Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM?

Au kazi hii inaweza kumgharimu kama shilole?

Mnamwonaje wadau
nonsense 🐒
 
Mshana Jr
jicho la tatu litumike?
Kuna kitu ndio maana wa TZ wengi ni badooo, hata akili ya kwenda nje ya boksi na kujiongeza wengi hawana kabisa. Hata vineno vimoja viwili hawawezi kuelewa...

Mwacheni Niffer aishi anayoishi, kama inawasumbua mwambieni awape nafasi yake...

Hasira ni hasara kwa wengi..
 
Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili.

Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM.

Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29.

Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM?

Au kazi hii inaweza kumgharimu kama shilole?

Mnamwonaje wadau
Niffer anatoka kwenye ukoo wa "Abalwani" yaani "Wapambanaji". Naamini atapambana na kufanikisha lengo.
 
Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili.

Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM.

Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29.

Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM?

Au kazi hii inaweza kumgharimu kama shilole?

Mnamwonaje wadau
SI kizazi hiki
 
Ni suala la mda tuu, kama Mimi nimerudisha mahaba yangu kwa ccm, wote tutarudi, ni suala la mda tu kila mtu ni ccm mambo mengine haya ni kufuata mkumbo tu
Watakaofika bei wapo na imekuwepo hivyo kwa miaka mingi, ila trend ya wanaikataa ccm ni kubwa kuliko hao hasa baada ya oktoba 29!.
Huoni mahaba ya samuya yanavyonadiwa kwa kutumia nguvu & gharama kubwa...watz wa sasa wengi sio mafala ila wana hofu!.
 
Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili.

Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM.

Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29.

Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM?

Au kazi hii inaweza kumgharimu kama shilole?

Mnamwonaje wadau
She is just a useful idiot for CCM regime
 
Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili.

Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM.

Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29.

Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM?

Au kazi hii inaweza kumgharimu kama shilole?

Mnamwonaje wadau
Makubwa gani malaya tu huyo
 
Watakaofika bei wapo na imekuwepo hivyo kwa miaka mingi, ila trend ya wanaikataa ccm ni kubwa kuliko hao hasa baada ya oktoba 29!.
Huoni mahaba ya samuya yanavyonadiwa kwa kutumia nguvu & gharama kubwa...watz wa sasa wengi sio mafala ila wana hofu!.
Sasa hata mkaikataa ccm tukaipenda wachache si Bado tunaongoza nchi au? Yani unaichukiaje ccm halafu unapenda mambo yake?
 
Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili.

Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM.

Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29.

Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM?

Au kazi hii inaweza kumgharimu kama shilole?

Mnamwonaje wadau
Rubbish 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮
 
Back
Top Bottom