The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Una maoni gani kwa jinsi anavyotuwakilisha kwenye mashindano ya MISS GRAND INTERNATIONAL?
TanzaniaNi Miss Thailand? Pisi.
Mali za ccm?Una maoni gani kwa jinsi anavyotuwakilisha kwenye mashindano ya MISS GRAND INTERNATIONAL?
View attachment 3686255
Na hizi ndio ishu maCCM yanataka tuwe tunafuatilia na kusahau kabisa UFISADI wanaoufanya!Una maoni gani kwa jinsi anavyotuwakilisha kwenye mashindano ya MISS GRAND INTERNATIONAL?
View attachment 3686255
Anaitwa nani,?Tanzania
Ndio anaitwa jihanHahahaha dah kumbe uyo ni m'bongo
JihanAnaitwa nani,?
Kaka uzalendo mbele kikubwa mi mbongoHivi Kuna wanaume wanafatilia ma miss
Katika maisha hizo changamoto ulizokutana nazo ndo uhalisia wa Dunia tunayoishi ,Maisha bhana, nilikua wa kwanza kabisa kuleta madam ya huyu Binti humu nikaambilia kuitwa shoga, nikatukanwa matusi yote kisa kukuombea kula mwanzoni kabisa siku kata tamaa nikaleta Uzi kuwaambia vocha zinagawiwa ili tumpigie kura, mana ili aabaki hapo alipo ni kura si maneno tu, basi mungu amjalie lakini nyuma yake Kuna watu wako hoi mke wa gsm Katoa zaidi ya milioni 27 ili kumpigia kula huyu jihan watu wako hoi