Natoa pongezi kwa wote wanaompambania huyu binti huko Thailand. Lete ushindi nyumbani.

Natoa pongezi kwa wote wanaompambania huyu binti huko Thailand. Lete ushindi nyumbani.

Katka ,un
Katika maisha hizo changamoto ulizokutana nazo ndo uhalisia wa Dunia tunayoishi ,
Akishinda hilo taji utaona shangwe kelele na vifijo, viongozi nk, ndugu zangu watz hii ni muhimu gharama za kutangaza utalii tuzike huku tuna nufaika mara mbili hapa, taji na promotion ya nchi YETU.
 
Tunamshukuru rais Samia suluhu Hasan kwa kuiwezesha Tanzania kushiriki na kuingia kwenye rank za viwango vya juu kwenye mashindano ya miss grand international
 
Back
Top Bottom