Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Ushindi wa ICC ni pigo kubwa sana kwa samia na genge lake kwasababu lazima ICC imkamate na kumshitaki ili kudhihirisha ushind huo sio wa bure. Take it or ignore it but the repercussions will reveal in the future date.