Hivi elon na starlink yake waliishia wapi kuja bongo, maana hawa providers wetu wanacheza michezo na mabando yetu

Hivi elon na starlink yake waliishia wapi kuja bongo, maana hawa providers wetu wanacheza michezo na mabando yetu

Sasa hivi ukiingiatu Facebook tayari bando lako linaondoka kwa video hambazo hata wewe huziitaji.


Zamani walikua wame weka Mfumo video mpaka uifungue lakini sasa hivi ni bando lakotu.

Uliweka utazani umepulizatu gb1 sasa hivi ni kama upepotu.

Kweli mabwanyenye wamekamata kila sekta.
 
Na mpango wa kutoa/kufuta vocha za kukwangua kuhamishia kununua mda wa maongezi kupitia mpesa airtelmoney mixxy na halopesa, si ukinunua hawakati chochote ngoja vocha za kukwangua zifutwe wataanza kukata pesa kama ada ya kununukiwa kifurushi
 
Janja janja nyingi kwenye routers zenu

Michezo mingi kwenye vifurushi vyenu. Tunawaangalia tu.
maFISIEMU hawamtaki Starlink kwa sababu hatakuwa anafunga Internet yake kulingana na mood sa kibibi
 
Back
Top Bottom