Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kivumbi cha ligi kuu kinaendelea leo kikiwakutanisha Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Mashujaa kutokea Kigoma.
Yanga ataingia kuyataka matokeo ya alama 3 baada ya kutoka sare dhidi ya TRA mchezo uliopita
=============
Yanga wamerejea kwenye wimbi la ushindi wa ligi kuu baada ya kumfunga Mashujaa goli 2-1 katika dimba la KMC Complex Mwenge.
Magoli ya Yanga yamefungwa na Peter Shalulile na Clement Mzize kwa upande wa Mashujaa goli lao limefungwa na Crispin Ngushi