ligi kuu nbc

The Tanzania Mainland Premier League (Swahili: Ligi Kuu Tanzania Bara) is a top-level Tanzanian professional football league, governed by the TPLB.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu NBC | KMC Complex | 1:00 Usiku | Yanga wanabonda tu

    Yanga leo wapo tena dimba la KMC Complex katika mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya wageni wao Kagera Sugar mishale ya Saa 1:00 usiku.
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa | Ligi Kuu NBC |KMC Complex | 12:30 Jioni | 27 Oktoba, 2026. Yanga warejesha makali yao

    Kivumbi cha ligi kuu kinaendelea leo kikiwakutanisha Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Mashujaa kutokea Kigoma. Yanga ataingia kuyataka matokeo ya alama 3 baada ya kutoka sare dhidi ya TRA mchezo uliopita ============= Yanga wamerejea kwenye wimbi la ushindi wa ligi kuu baada ya kumfunga...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: TRA 0-0 Yanga SC | Ligi Kuu NBC | 24 Oktoba, 2026 | 10:00 Jioni

    Yanga imeendeleza matokeo ya kusuasua katika Ligi Kuu Bara baada ya matokeo ya 0-0 dhidi ya TRA, matokeo yanayoibakiza Yanga nafasi ya pili nyuma ya Simba. Mchezo huo wa leo Oktoba 24, 2026 ulishuhudia Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya alipewa kadi nyekundu dakika ya 90 ambapo timu yake...
  4. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Bongo mchezaji bora wa mchezo mnaangalia vigezo gani?

    Jana katika mchezo wa Simba na Coastal Union mchezaji bora kapewa Chilambo, lakini kipa wa Coastal alikuwa bora zaidi japo aliconced goli moja. Chuma Ramadhan golikipa wa Coastal kasevu mashuti saba kati ya nane yaliyo lenga lango. Ni sawa na mechi ya laliga jana usiku kati ya Barcelona na...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | Ligi Kuu | Majaliwa Stadium | 15 Agosti, 2026 | Wenye Pesa Mfuko wa Shati hawataki utani

    Mabingwa watetezi, Yanga wameichapa 3-1 timu ya Namungo kwenye uwanja wao nyumbani. Yanga imeanza ligi kuu kwa mguu mzuri baada ya kushinda mechi yao ya kwanza wakiwa ugenini na kuvuna alama 3 muhimu. Yanga SC imeanza kampeni yake ya Ligi Kuu ya NBC kwa ushindi, ikiondoka na alama tatu muhimu...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 3-0 TRA United| Ligi kuu NBC | KMC Complex

    Yanga wanashuka dimbani muda huu kucheza mchezo wake wa ligi kuu NBC dhidi ya TRA. Moja ya mchezo mzuri na muhimu kwa Yanga kujihakikishia ubingwa Lakini pia hata TRA nao wanataka kumaliza top 4 =========== Klabu ya Yanga imeendelea kuonyesha ubora wake katika Ligi Kuu ya NBC baada ya kuibuka...
  7. S

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Yanga SC 3-0 Azam FC | Amani Complex | 24/6/2026 | Yanga wanaukalibia ubingwa

    Wakuu leo mechi nane zitapigwa za NBC Premeir league lakini Jambo kubwa ni kati ya Yanga dhidi ya Azam FC. Je, Yanga wataweza kujishikilia dhidi ya utofauti wa point mbili kati yake na Mnyama Simba. Ikumbukwe Yanga ana majeraha baada ya kipigo kitakatafu dhidi ya Azam hao hao kwenye kombe la...
Back
Top Bottom