Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Yanga leo wapo tena dimba la KMC Complex katika mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya wageni wao Kagera Sugar mishale ya Saa 1:00 usiku.
Bro kuwanga ni usiku 😁Lolote baya liwakute
Tunatumia software mpya...tunawanga 24 7Bro kuwanga ni usiku 😁
Ngap ngap?Shasha Man 🔥
1-0Ngap ngap?
Yanga 2 K.Sugar 0.Ngap ngap?
Shasha Man anakosakosa ingawa kafunga.Nonachokiona ni kwamba Kagera sugar inafuata maagizo ila Yanga wanakosa striker wakutumia free chance wanazopewa
😂😂😂😂Refa maliza mpira nkampikie kaka ako......