Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Yanga imeendeleza matokeo ya kusuasua katika Ligi Kuu Bara baada ya matokeo ya 0-0 dhidi ya TRA, matokeo yanayoibakiza Yanga nafasi ya pili nyuma ya Simba.
Mchezo huo wa leo Oktoba 24, 2026 ulishuhudia Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya alipewa kadi nyekundu dakika ya 90 ambapo timu yake imefikisha pointi 19 katika michezo 8 huku TRA ikifikisha alama 7 mechi 8.
Mwenendo wa Yanga katika Ligi Kuu umesababisha kuwe na mjadala kwa mashabiki wao kwamba tatizo ni kocha au usajili haukuwa mzuri?
=============
Yanga leo wapo uwanjani tena katika mchezo wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya wenyeji wao TRA katika Dimba la Shekh Amri Arusha.
Vipi Yanga ataondoka na ushindi?
Mchezo wa Msimu uliopita Yanga Atoa sare ya 0-0 Baada ya mchezo wa Marudiano KMC Complex yanga Akashida goli 3 -0 Magoli yote yakifungwa na Allan Okello