Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Ngapi
Wanafungwa kamokoItapendeza kama uto watapata sare.
haiwezekani kolo hii mechi tunashindaItapendeza kama uto watapata sare.
Ngoja tusubiri dakika 90 ziishehaiwezekani kolo hii mechi tunashinda
hamna wachezaji mule, Injinia kawaingiza chaka tena wana yanga 😂Mali hizo
Hakuna cha kukaziwa wala nini, Yanga kiwango kinaporomoka kwa kasi ya 5G tokea mechi ya Gaborone na ile ya Geita ilikuwa inaonekana kabisa timu ya Manqoba ni bovuhawa ma bwege T.R.A huwa wanatukazia balaaa ila wanachapwa kama kawaida
Usajili wa wachezaji mpk kocha ni mbovu, yani ni kama msimu ulopita tu.Nachokiona uwanjani nashindwa hata kusema kama ni ubovu wa wachezaji ama kocho ndiye anayesababisha tuone wachezaji ni wabaya. Huyu Toure mwanzoni mwanzoni nilikuwa naona impact yake kwenye timu na nilimuona sio mchezaji mbaya. Ila siku hizi wachezai wapya tuliyokuwa tunaona ni wazuri wanazidi kuporomoka viwango. Hadi wale wa zamani nao hivyo hivyo kabakia Maxi pekee. Hii hali ilikuwa hivi hivi kwa Folz
Huyo msomali ndo tapeli,anajua uto wote mazuzuUsajili wa wachezaji mpk kocha ni mbovu, yani ni kama msimu ulopita tu.
Kitendo cha Hersi kumuacha Miloud ndiyo matokeo yake ndiyo haya sasa. Alipata makocha wazuri akawadharau kwa ujuaji na sifa ya kujiona anajicho la scouting hivyo atapata replacement sahihi. Sasa kila anachokileta hamna kitu. Huu ndio msimu wa timu za Tanzania kufanya vizuri ligi ya mabingwa ila utashangaa bahati hii viongozi wa Yanga watashindwa kuchanga karata zao vyema ili watumie advantage ya kukosekana timu zenye uzoefu na ligi ya mabingwa.Usajili wa wachezaji mpk kocha ni mbovu, yani ni kama msimu ulopita tu.