kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,393
- 10,153
Refa achunguzwe,hatutaki matuta ya ajabu ajabu
HahahhahaKikosi kipana cha yanga kipo eneo gani?
Apewe matokeo
Ngapi ngapi huko??
Labda haijalipwaTimu yangu ya Yanga sijui imekumbwa na nini! Wachezaji wengi wanacheza kawaida sana. Huoni wakijituma na kuipambania timu. Kama huyu Albert Kangwanda ndiyo anakatisha kabisa tamaa.
Wewe unajua mpira.! Tatizo la Yanga ni sajili za ujanja ujanja.Bwana Maboga mabichi aachwe...
Hiyo timu wachezaji ndo hamna kitu...
Suluhisho hapo ni dirisha dogo tu....
Wachezaji wa kigeni wasiopungua 7 piga chini...
Bundi kahamia jangwani,Washabiki wa yanga wanalaumu wachezaji wao wakitaka wacheze kama wa Simba huku wakisahau quality ya wachezaji wa yanga ni tofauti na wa simba.