Kama unapata vilivyo bora halafu unavi dharau sasa unataka kitu gani zaidi ya vibovu? Tukio la kumuacha Miloud ambaye kaipa Yanga mataji yote ya ndani na mpira ulikuwa wa kueleweka. Yanga ilikuwa na zaidi ya 75 ya kushinda vs mpinzani wake. Halafu kamuacha kocha ambaye wangeendeleza walipoishia ili kuifanya timu iwe imara zaidi, akaenda kuchukua kocha mpya kutoka ligi ya Afrika kusini eti Folz, nikajua huyu jamaa sasa hajui anachotaka. Mashabiki wanamvumilia ila ipo siku matusi ya makocha wabovu na wachezaji wabovu atayapokea yeye.kuwaondoa Aucho, Okello, Depu na Miloud Hamdi ni maamuzi ambayo jamaa alikurupuka na bado anaendelea kuboronga kwenye usajili sio kwa makocha wala wachezaji, subiri tena dirisha dogo uone viazi anavyovileta 😆
We nae haya liko wapi hilo goli? 😔Yanga anafungwa moja
Afadhali Mimi Mwananchi nisiyejulikana. Wewe sasa utasimangwa humu Mwaka mzima, kila ukiamka asubuhi unakuta notification mcheleDaah! Miaka kadhaa nyuma haya mambo tulikuwa tunayasikia tu hatimaye yametufikia.
Eeh Mungu tuvushe salama kwa viongozi wetu kufanya maamuzi yaliyo sahihi mapema kabla hatujachelewa tukarudi enzi za Utopolo.
Ni muda wako wa kuleta nyuzi za kihasibu sasa 😂Uto mwacheni kocha awaletee kombe la CAF
Acha kabisa Mkuu. Mbona kazi ninayo.Afadhali Mimi Mwananchi nisiyejulikana. Wewe sasa utasimangwa humu Mwaka mzima, kila ukiamka asubuhi unakuta notification mchele
Ye alete tu lakini kumkumbusha tu watu wa Masijala tupo. 😅😅Ni muda wako wa kuleta nyuzi za kihasibu sasa 😂
Timu zote kubwa jana leo zote zimepoteza ukiona timu yako imeshinda leo basi ni underdogNnalo basi.
Hii timu yangu sio bure inataka huu mwili wote wangu wote upukutike. 😔
Hata Shalulile apigwe chini??Bwana Maboga mabichi aachwe...
Hiyo timu wachezaji ndo hamna kitu...
Suluhisho hapo ni dirisha dogo tu....
Wachezaji wa kigeni wasiopungua 7 piga chini...
Mkui wacha tuishi humu kama vipi.Timu zote kubwa jana leo zote zimepoteza ukiona timu yako imeshinda leo basi ni underdog