moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Uliona mbali sanaYanga yupo anakimbizwa tu. Leo ni Draw
Uliona mbali sanaYanga yupo anakimbizwa tu. Leo ni Draw
Ndiyo hivyo kama ulivyosikia, wanaendelea kulumbana kuhusu hatima ya kochaItapendeza kama uto watapata sare.
Ni tayari washamtimuaNdiyo hivyo kama ulivyosikia, wanaendelea kulumbana kuhusu hatima ya kocha
Duuu, kosa nini, yaani kufungwa mechi moja na droo moja unafukuza kocha😇Ni tayari washamtimua
Mangoba bye
Mimi huwa ninashangaa makocha wanaoleta CV klabu za Tz hususani Yanga na Simba SC. Ninaona wanakuja kupoteza muda, sababu hizi timu hazitambui matokeo yoyote zaidi ya ushindi.Duuu, kosa nini, yaani kufungwa mechi moja na droo moja unafukuza kocha😇
Mpira wa Tanzania mgumu sana🙄
Wakati wenzao wanasajili wao walikuwa wanavizia wachezaji wa akiba wa timu pinzani wawatoroshe.Msisingizie kocha timu mbovuuuuuuuu
Jipangeni upya...kocha anatumia kila mchezaji kama hawawezi kudeliver afanyaje sasa 🤠🤠🤠
Hivi kisheria hili ni tusi? 😀Kocha nimemtukania wazazi wake
TAYARI KOCHA KALA NYEKUNDUYanga imeendeleza matokeo ya kusuasua katika Ligi Kuu Bara baada ya matokeo ya 0-0 dhidi ya TRA, matokeo yanayoibakiza Yanga nafasi ya pili nyuma ya Simba.
Mchezo huo wa leo Oktoba 24, 2026 ulishuhudia Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya alipewa kadi nyekundu dakika ya 90 ambapo timu yake imefikisha pointi 19 katika michezo 8 huku TRA ikifikisha alama 7 mechi 8.
Mwenendo wa Yanga katika Ligi Kuu umesababisha kuwe na mjadala kwa mashabiki wao kwamba tatizo ni kocha au usajili haukuwa mzuri?
=============
Yanga leo wapo uwanjani tena katika mchezo wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya wenyeji wao TRA katika Dimba la Shekh Amri Arusha.
Vipi Yanga ataondoka na ushindi?
Mchezo wa Msimu uliopita Yanga Atoa sare ya 0-0 Baada ya mchezo wa Marudiano KMC Complex yanga Akashida goli 3 -0 Magoli yote yakifungwa na Allan Okello
View attachment 3697363
Upana wa kikosi ni jambo moja na ubora wa wachezaji ni jambo jingine!Hapo ndio utagundua kuwa kwa kikosi kipana Yanga imeizidi Simba pakubwa sana, ila kocha hamna. Kocha wa Simba sub zake ni chache mno lakini unaona timu yake kuonesha kuimarika. Ila Yanga yenye kikosi kipana ndiyo inazidi kuwa mbovu siku hadi siku.
Hivi mtani,ni Yanga ya KIBAIGWA au Yanga BINGWA?🤣🤣🤣🤣Ok! "YANGA BINGWA"
Shasha hakuwepo na Cheketure na Bishoo Albert wako wapi?Hatuna mchezaji mwenye uwezo wa kukaa na mpira akawapangua wachezaji hata 2. Wanapoteza mipira ******* sana, hawakai kwenye nafasi sahihi. Hawana plan ni wakati gani washambulie. Timu haina muunganiko mpira ukiwa mbele Kila mmoja anataka afunge. Pasi za mwisho mbovu
Hawana uwezo wakukaa na mpira haoShasha hakuwepo na Cheketure na Bishoo Albert wako wapi?
Basi wake na tikitiHawana uwezo wakukaa na mpira hao
Hatimaye.Mangoba bye
Mna huzuni sana Moyoni...Hatimaye.