FT: TRA 0-0 Yanga SC | Ligi Kuu NBC | 24 Oktoba, 2026 | 10:00 Jioni

FT: TRA 0-0 Yanga SC | Ligi Kuu NBC | 24 Oktoba, 2026 | 10:00 Jioni

Ally kamwene
 

Attachments

  • FB_IMG_1791919782249.jpg
    FB_IMG_1791919782249.jpg
    80.6 KB · Views: 5
Msisingizie kocha timu mbovuuuuuuuu
Jipangeni upya...kocha anatumia kila mchezaji kama hawawezi kudeliver afanyaje sasa 🤠🤠🤠
 
Msisingizie kocha timu mbovuuuuuuuu
Jipangeni upya...kocha anatumia kila mchezaji kama hawawezi kudeliver afanyaje sasa 🤠🤠🤠
Si ndiyo hapo sasa kocha afanyeje wakati walisema wana kikosi kipana
 
Hatuna mchezaji mwenye uwezo wa kukaa na mpira akawapangua wachezaji hata 2. Wanapoteza mipira ******* sana, hawakai kwenye nafasi sahihi. Hawana plan ni wakati gani washambulie. Timu haina muunganiko mpira ukiwa mbele Kila mmoja anataka afunge. Pasi za mwisho mbovu
 
Back
Top Bottom