FT: TRA 0-0 Yanga SC | Ligi Kuu NBC | 24 Oktoba, 2026 | 10:00 Jioni

FT: TRA 0-0 Yanga SC | Ligi Kuu NBC | 24 Oktoba, 2026 | 10:00 Jioni

Kama unapata vilivyo bora halafu unavi dharau sasa unataka kitu gani zaidi ya vibovu? Tukio la kumuacha Miloud ambaye kaipa Yanga mataji yote ya ndani na mpira ulikuwa wa kueleweka. Yanga ilikuwa na zaidi ya 75 ya kushinda vs mpinzani wake. Halafu kamuacha kocha ambaye wangeendeleza walipoishia ili kuifanya timu iwe imara zaidi, akaenda kuchukua kocha mpya kutoka ligi ya Afrika kusini eti Folz, nikajua huyu jamaa sasa hajui anachotaka. Mashabiki wanamvumilia ila ipo siku matusi ya makocha wabovu na wachezaji wabovu atayapokea yeye.
Punguza hasira 😁
 
Kikosi Cha Yanga ni kizuri ila wachezaji hawana morali. Wanapoteza mipira kizembe kiasi cha kutia hasira. Hawana mipango wakiwa na mpira. Yaani hovyo kabisa
 
Kama unapata vilivyo bora halafu unavi dharau sasa unataka kitu gani zaidi ya vibovu? Tukio la kumuacha Miloud ambaye kaipa Yanga mataji yote ya ndani na mpira ulikuwa wa kueleweka. Yanga ilikuwa na zaidi ya 75 ya kushinda vs mpinzani wake. Halafu kamuacha kocha ambaye wangeendeleza walipoishia ili kuifanya timu iwe imara zaidi, akaenda kuchukua kocha mpya kutoka ligi ya Afrika kusini eti Folz, nikajua huyu jamaa sasa hajui anachotaka. Mashabiki wanamvumilia ila ipo siku matusi ya makocha wabovu na wachezaji wabovu atayapokea yeye.
Jamaa anapuyanga sana saiv yani amerudi kuwa hersi yule wa 2019 na 2020
 
Huyo Kocha mvua za el nino atakuwa kwao Mpumalanga huko kama siyo Limpopo.
 
Aisee kipindi simba wanasikia njaa nyanga mmeziba masikio
 
Kiporo karibia kichache Simba bingwa na bado Hersi atuachie timu yetu!!!!!
 
Daah! Miaka kadhaa nyuma haya mambo tulikuwa tunayasikia tu hatimaye yametufikia.

Eeh Mungu tuvushe salama kwa viongozi wetu kufanya maamuzi yaliyo sahihi mapema kabla hatujachelewa tukarudi enzi zile tulizopachikwa jina la Utopolo.
Kwa mara ya mwisho kocha bora kupita Yanga ni Miroud Hamdi! Baada ya hapo majanga yalianza na timu yetu kugeuka kuwa ya tia maji tia maji.
 
😹😹😹
239b1c0045f24c5a81284d19f7daa477.jpg
 
Bingwa wa kuchambua vikosi vya timu pinzani ili aonekane anajua kumbe hakuna kitu
 
Back
Top Bottom