Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Apostle Kumetokea NiniHili goli ilitakiwa lifungwe dakika ya 93
Apostle Kumetokea NiniHili goli ilitakiwa lifungwe dakika ya 93
Umesahau cc Smart911Dahhh
Mankuba si kashasepeshwa bado timu itakuwa but tuuuu?Kazi sanaa hayaa ngoja tuone na leo kiwango butuuu
Teyari kwani?Hili goli ilitakiwa lifungwe dakika ya 93
Angalia mkuu kama unajali performance kuliko matokeo. Ili uone kama kuna improvement ama lah. Na tujue shida ilikuwa inachangiwa na kocha amq lah.Unanishauri niangalie game au nisubirie matokeo? Kocha wetu nani kwanza wakati huu wa mpito?
Take easy mazee ndio mpira huo Barc na ubora wake kafa home juzi kwa Madrid..Hii timu inaelekea kuniua mapema kuliko siasa za bongo zaidi ya nilivyokuwa naitegemea🚮🙌
Mkuu hatuna team.Hii timu inaelekea kuniua mapema kuliko siasa za bongo zaidi ya nilivyokuwa naitegemea🚮🙌
Sukari ipo sawa Shady?Kama nafasi unayo nakushauri uangalie Mkuu. Kwa sasa Timu ipo chini ya aliyekuwa kocha msaidizi Simon Dladla.
Daah!Sukari ipo sawa Shady?
Hana tofauti na DOUMBIAShaulile profile aliyokuwa nayo na anachofanya uwanjani kwasasa ni hovyo. Kapoteza nafasi nyingi sana aisee.
Usimfananishe na DOUMBIA, Shalu tayari ni age go.!!Hana tofauti na DOUMBIA