Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Jumapili aisuburi kwa hamu sadaka yangu ya kujimaliza kudadek zake 😂Tayari kaokoa jahazi
Jumapili aisuburi kwa hamu sadaka yangu ya kujimaliza kudadek zake 😂Tayari kaokoa jahazi
Nyie Makolo ndo maana mnapataga presha na kukimbilia kumfukuza Mangungu..
Subiri msimu uishe uje tena hapa..
Hii timu yetu kwa sasa haina kiapo kabisa. Kukushangaza ni kitendo cha sekunde tu.Angalia mkuu kama unajali performance kuliko matokeo. Ili uone kama kuna improvement ama lah. Na tujue shida ilikuwa inachangiwa na kocha amq lah.
Jumapili aisuburi kwa hamu sadaka yangu ya kujimaliza kudadek zake 😂
Nafasi nnayo ila hii timu yetu kwa sasa kiwango kipo chini sana. Tunashinda lakini furaha duni sana.Kama nafasi unayo nakushauri uangalie Mkuu. Kwa sasa Timu ipo chini ya aliyekuwa kocha msaidizi Simon Dladla.
Matokeo ngapi ngapi bro?Refa maliza mpira, Luku imebaki 0.02 sio zamu yangu kununua umeme......
Ubao wa football bro unasoma 2-1Matokeo ngapi ngapi bro?
Yaani mie baada ya ile moja moja nilijua ndo imeshatoka.Nafasi nnayo ila hii timu yetu kwa sasa kiwango kipo chini sana. Tunashinda lakini furaha duni sana.
Duh! Wewe unashabikiaje mpira kwani? Unaingia na matokeo au unaingia kwa mumdharau mpinzani?Sasa hivi Sina timu kabisa bongo Yani mechi unaangalia bar unashindwa hata kunywa bia unaishia kuwa bize kuminya pumbu diara asifungwe ili kesho vijiwe vya pool table tupate hata vya kuongea🚮🙌
Tunaingia na matokeo uwanjani ndio shida ya timu zetu.Nafasi nnayo ila hii timu yetu kwa sasa kiwango kipo chini sana. Tunashinda lakini furaha duni sana.
Unataka kushinda kama Simba? Mpira haupo hivyoMwaka huu tumeshawapisha Simba. Simba alimtwanga Mashujaa 6, sisi tunaishia viwili tu.
Washabiki tunaumia kuliko wachezaji. Nuru imefifia sana kwenye nyuso za wananchi.Yaani mie baada ya ile moja moja nilijua ndo imeshatoka.
Ila nini wacha twende hivyo hivyo tutafika.
Bado tunakibarua kizito sana.Tunaingia na matokeo uwanjani ndio shida ya timu zetu.
Leo wameonyesha utofauti japo umakini kwa washambuu
Unataka kushinda kama Simba? Mpira haupo hivyo