Doumbia bgari ishawaka na bado mbichi. Shelulile kaja kustaafia Yanga.Usimfananishe na DOUMBIA, Shalu tayari ni age go.!!
Mechi ngumu kama hii unakaanzisha katoto ka U20 Juma Abushiri! Kweli tutatoboa?
Hii Yanga inahitaji maombi.Kipindi cha pili Yanga imegeuka Rhino Rangers FC, wanachocheza hakieleweki. Kwa dakika hizi 20
Kwani imekuaje kwa watapleyaz?Mechi ngumu kama hii unakaanzisha katoto ka U20 Juma Abushiri! Kweli tutatoboa?
Yaani unawaacha watu wazima nje, unakaanzisha katoto! Kweli mwaka huu Yanga tumepatikana na makocha wetu.
Wasilianeni na mwamposaHii Yanga inahitaji maombi.
Yule mamiwani ameshusha kwa kiwango kikubwa fitness ya wachezaji. Unaweza kufikiri wamefungwa magunia ya misumari miguuni.Yanga tafuteni kocha wa fitness mapema, fitness ya wachezaji ipo chini
Ni kweli, turidhike kwa kila kidogo tunachopewa wadau😓😓 hii sare inatutosha wanayanga wenzangu.
Be carefull ukiitwa kuombewa kwa niaba ya timu, maana na wale wa ununio maombi yao hufanyika hapo pia 😎
Endelea kushukuruMbona leo huku kumekimya sana?
Mashujaa tunashukuru sana.
Yaani baada ya sisi kuharibu mechi mbili tatu mmeshatuchukulia ni wabovu kuliko.
Timu yetu sio mbaya kiasi hicho.
Nyie Makolo ndo maana mnapataga presha na kukimbilia kumfukuza Mangungu..Unaweza kutuambia sababu ya Yanga kutoongoza ligi?