Huyu Waziri alikuwaga mtata sana....!

Huyu Waziri alikuwaga mtata sana....!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
1793269954909.jpeg

Waziri wa sasa atakayethubutu kufanya hivi leo, atatekwa na kufunguliwa kesi ya UHAINI!
 
Jamaa alivyopewa Uwaziri alibadilika kabisa akawa mtu tofauti sana.
 
Mzee alinifurahisha kwa kutembea na ilani ya CCM kila pahala.
 
Back
Top Bottom