Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
Wakuu,
Kesho Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bima ya Afya kwa Wote, Awamu ya Pili.
Hapa nilipo nipo njiani naelekea Mtwara.
Lakini nipo chonjo sana. Hawa UVCCM hawataki nihudhurie kisa niliandika habari ya wao kula Rushwa. Wanadai...
Watu wa Mwanza bado tunateseka na suala la maji kwa 90% ya wakazi wa huku hatupati maji na ziwa lipo kwetu, waziri akija maji yanatoka, akiondoka maji hayapo hii ni haki kweli?
Hadi hivi leo maji hatuna tunateseka sana wengine kazi zimesimama tumefunga ofisi zetu sababu ya maji, nipo maeneo ya...
Wanabodi,
Niko usawa wa Maktaba Kuu jijini DSM, kuwaletea live mubashara, Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba.
Hii ni live streaming ya PPR
https://www.youtube.com/live/by_M-S5y2nQ?si=unvr7AjYMYBjHUyW
TBC pia wako live https://www.youtube.com/live/82WSK_aP0gA?si=sHuGGozGjH9KJ6OM
Karibuni...
adolf mkenda
elimu
from
kongamano
kuu
live
maktaba
mgeni
mgeni rasmi
mkenda
prof. adolf mkenda
profesa
rasmi
taifa
ufunguzi
ukweli
waziriwaziri wa elimu
WAZIRI MAKONDA UMEKATAA KUTUPA HELA WAANDISHI WA MTANDAONI KWANI SISI SIO CONTENT CREATORS?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Juzi tulionana pale kwenye Final ya Pongwe Cup, Upanga, ukiwa kama Mgeni Rasmi. Sikupata nafasi ya kukujulisha hili kutokana na hali iliyokuwepo.
Hii ni mara ya pili...
Ni ndefu kiasi ila jitahidi umalize.
Natumaini Wote Mu wazima wa afya, kwa walio wadhaifu basi Mungu awaponye na awatie nguvu tena.
Modes nimeamua kutumia ID tofauti na ambayo huwa natumia kwa sababu za privacy tu sababu ID nayotumia nafahamika personally na baadhi ya watu, kwa hivyo naomba...
Wananchi wa Buchosa, Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Kilimo, Daniel Chingolo kwa kuwahisha mbolea kwa wakulima mapema.
Pongezi hizo za Wananchi wa Buchosa zimetolewa baada ya kupata mbolea za kupandia kwa wakati kwenye msimu huu wa kilimo...
Wakuu salama,
Nimeona post ya mdau mmoja huko Instagram kaandika:
MY TAKE YANGU MIMI KIJANA WA IFOZA (KWA WELEDI MKUBWA):
Kwanza kabisa, ni dhahiri kuwa mdau wa post hiyo hapo juu ameandika kwa lugha ya kejeli na dhihaka kubwa mno, akiwakejeli waziwazi wanahabari wetu pamoja na Mheshimiwa...
Siku zote Kuna tofauti kubwa kati ya mtu ( binafsi) na taasisi au jumuiya katika jicho la kisheria licha ya kwamba Taasisi au jumuiya zinaongozwa na watu.
Katika mazingira hayo, Taasisi inatenganishwa na watu moja kwa moja. Hili ndio naliona tatizo kwa UVCCM Mkoa wa Pwani kutaka kuhusianisha na...
Habari zenu Wakubwa
Naomba kuulizia ID anayotumia Waziri wetu wa afya humu Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa nina jambo nataka kumshirikisha
Nilimsikia akidai kuna alimjibu mtu humu JF kuhusu kero zinazotokea kwenye sekta ya afya na huwa anapita sana humu kujibu jibu maoni na maswali ya watu...
Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa...
𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼
Kunogile Ukae
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
🕰️ 4:00 Asubuhi.
📆 Ijumaa - 16 Oktoba, 2026.
Ratiba ya Ziara
1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA.
2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo.
3. Kuzungumza...
baba
baba wa taifa
day
julius kambarage nyerere
kambarage
kumbukizi
mkuu
mwalimu
nyerere
nyerere day
ofisi
ofisi ya waziri
ofisi ya waziri mkuu
oktoba
siku
taifa
waziriwaziri mkuu
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa.
Katika Ibada hiyo...
𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼
Kunogile Ukae
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
🕰️ 4:00 Asubuhi.
📆 Ijumaa - 16 Oktoba, 2026.
Ratiba ya Ziara
1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA.
2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo.
3. Kuzungumza...
Waziri Mkuu Dkt MWIGULU LAMECK NCHEMBA akiwa ameambatana na Mke wake, NEEMA MWIGULU NCHEMBA wakiwa wanawasili katika Kiwanja cha NELSON MANDELA Mkoa wa Rukwa, kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Kilele cha Mwenge na Kumbukizi ya Miaka 27 ya Baba wa Taifa, Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
Hata polisi amejitahidi polisi amejitahidi kuokoa... Ah... Naomba nisikilizeni jamani. Mimi nachukua kile kilichonyooka.
Mimi niko kwenye ukweli. Hatuwezi kuwa jeshi la polisi limefanya kazi ya maana kuokoa maisha ya watu hamtaki kusikia. Ila wangekosea wakafa mngekuwa wa kwanza kuanza kwenye...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz anampa onyo kali kiongozi wa Hamas:
Tuliwaangamiza viongozi wa Hamas huko Gaza, na sasa ni zamu ya Al-Hayya kumwangamiza!!
Hamas ikijibu vitisho vya Waziri wa Ulinzi Israel Katz vya kumwangamiza Khalil al-Hayya, mkuu wa ofisi yake ya kisiasa:
Vitisho...
Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais
Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii
mengistu haile mariam hakua na akili za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.