Bashite ananikumbusha Waziri Mkuu katili wa Ethiopia, Mengistu Haile Mariam

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais

Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii

mengistu haile mariam hakua na akili za darsani na alikuwa ni wale wanafunzi wanofukuzwa mara kwa mara wakiwa wanasoma na hata alipoenda jeshini wakubwa wake walijua tabia zake ila cha ajabu aliluwa anapanda vyeo kila uchwao

mwaka 1974 kikundi cha kijeshi cha derg kilichomuondoa haile selasie kilichukua nchi ila Mengistu Haile Mariam aliwauwa wenzake wote kwa nyakati tofauti mpaka mwaka 1977 akabaki mtu mwenye nguvu na akachukua nchi na aliuwa watu wengi sana kupitia kampeni yake ya red terror na ni architect wa matatizo ya sasa ya ethiopia sababu wakati wa utawala wake kuliibuka vikundi vingi vya kikabila vilivyokuwa vinapinga utawala wake wa kikatili ambavyo mpaka leo vinaitesa ethiopia

Tigray People liberation army, fano rebels na wengine vilivyomuaondoa mengstu haile mariam vimeungana tena kwa lengo la kumuondoa abiy mohamed waziri mkuu wa sasa wa ethiopia

Daudi Bashite hata Urais atashika ni watu ambao wanajua njia za kushika madaraka

Unaweza ukawa smart ila usijue njia za kushika madaraka na mtu anaweza akawa alikuwa mjinga darasani ila anajua njia za kushika madaraka ndo daudi bashite
 
Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais

Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii

mengistu haile mariam hakua na akili za darsani na alikuwa ni wale wanafunzi wanofukuzwa mara kwa mara wakiwa wanasoma na hata alipoenda jeshini wakubwa wake walijua tabia zake ila cha ajabu aliluwa anapanda vyeo kila uchwao

mwaka 1974 kikundi cha kijeshi cha derg kilichomuondoa haile selasie kilichukua nchi ila Mengistu Haile Mariam aliwauwa wenzake wote kwa nyakati tofauti mpaka mwaka 1977 akabaki mtu mwenye nguvu na akachukua nchi na aliuwa watu wengi sana kupitia kampeni yake ya red terror na ni architect wa matatizo ya sasa ya ethiopia sababu wakati wa utawala wake kuliibuka vikundi vingi vya kikabila ambavyo mpaka leo vinaitesa ethiopia

Daudi Bashite ccm wasipokuwa makini hata Urais atashika na tabia zake kila mtu anazijua sitaki kuziongelea sana ila ni watu ambao wanajua njia zakufika kwenye mamlaka

Unaweza ukawa smart ila usijue njia za kushika madaraka
ok.🐒
 
Huyo DAUDI ALBERT BASHITE ana cheo gani ndani ya chama? Mbona nikiwa kama kada mkongwe ndani ya chama simfahamu wala kusikia jina la aina hii?
 
Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais

Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii

mengistu haile mariam hakua na akili za darsani na alikuwa ni wale wanafunzi wanofukuzwa mara kwa mara wakiwa wanasoma na hata alipoenda jeshini wakubwa wake walijua tabia zake ila cha ajabu aliluwa anapanda vyeo kila uchwao

mwaka 1974 kikundi cha kijeshi cha derg kilichomuondoa haile selasie kilichukua nchi ila Mengistu Haile Mariam aliwauwa wenzake wote kwa nyakati tofauti mpaka mwaka 1977 akabaki mtu mwenye nguvu na akachukua nchi na aliuwa watu wengi sana kupitia kampeni yake ya red terror na ni architect wa matatizo ya sasa ya ethiopia sababu wakati wa utawala wake kuliibuka vikundi vingi vya kikabila ambavyo mpaka leo vinaitesa ethiopia

Daudi Bashite ccm wasipokuwa makini hata Urais atashika na tabia zake kila mtu anazijua sitaki kuziongelea sana ila ni watu ambao wanajua njia zakufika kwenye mamlaka

Unaweza ukawa smart ila usijue njia za kushika madaraka
Huogopi kupotezwa?
 
Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais

Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii

mengistu haile mariam hakua na akili za darsani na alikuwa ni wale wanafunzi wanofukuzwa mara kwa mara wakiwa wanasoma na hata alipoenda jeshini wakubwa wake walijua tabia zake ila cha ajabu aliluwa anapanda vyeo kila uchwao

mwaka 1974 kikundi cha kijeshi cha derg kilichomuondoa haile selasie kilichukua nchi ila Mengistu Haile Mariam aliwauwa wenzake wote kwa nyakati tofauti mpaka mwaka 1977 akabaki mtu mwenye nguvu na akachukua nchi na aliuwa watu wengi sana kupitia kampeni yake ya red terror na ni architect wa matatizo ya sasa ya ethiopia sababu wakati wa utawala wake kuliibuka vikundi vingi vya kikabila vilivyokuwa vinapinga utawala wake wa kikatili ambavyo mpaka leo vinaitesa ethiopia

Tigray People liberation army, fano rebels na wengine vilivyomuaondoa mengstu haile mariam vimeungana tena kwa lengo la kumuondoa abiy mohamed waziri mkuu wa sasa wa ethiopia

Daudi Bashite ccm wasipokuwa makini hata Urais atashika na tabia zake kila mtu anazijua sitaki kuziongelea sana ila ni watu ambao wanajua njia za kushika madaraka

Unaweza ukawa smart ila usijue njia za kushika madaraka na mtu anaweza akawa alikuwa mjinga darasani ila anajua njia za kushika madaraka ndo daudi bashite
Ni kweli, Daud hana aibu kabisa na anajua mbinu za kupanda juu. Ipo siku watu watashangaa jamaa amekuwa waziri mkuu, makamu au hata raisi mana yeye siku zote anawaza kwenda juu tu.

Niliona bango sijui ni kweli, alienda Mwanza akatoa maelekezo ya vivuko kitu kama vile, huku yeye akiwa waziri wa utamaduni na mbunge wa Arusha! Maana yake hapo anatoa alam kwamba, anatakiwa awe waziri mkuu ili azunguke nchi nzima kushughulilia kero za wananchi!
 
Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais

Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii

mengistu haile mariam hakua na akili za darsani na alikuwa ni wale wanafunzi wanofukuzwa mara kwa mara wakiwa wanasoma na hata alipoenda jeshini wakubwa wake walijua tabia zake ila cha ajabu aliluwa anapanda vyeo kila uchwao

mwaka 1974 kikundi cha kijeshi cha derg kilichomuondoa haile selasie kilichukua nchi ila Mengistu Haile Mariam aliwauwa wenzake wote kwa nyakati tofauti mpaka mwaka 1977 akabaki mtu mwenye nguvu na akachukua nchi na aliuwa watu wengi sana kupitia kampeni yake ya red terror na ni architect wa matatizo ya sasa ya ethiopia sababu wakati wa utawala wake kuliibuka vikundi vingi vya kikabila vilivyokuwa vinapinga utawala wake wa kikatili ambavyo mpaka leo vinaitesa ethiopia

Tigray People liberation army, fano rebels na wengine vilivyomuaondoa mengstu haile mariam vimeungana tena kwa lengo la kumuondoa abiy mohamed waziri mkuu wa sasa wa ethiopia

Daudi Bashite ccm wasipokuwa makini hata Urais atashika na tabia zake kila mtu anazijua sitaki kuziongelea sana ila ni watu ambao wanajua njia za kushika madaraka

Unaweza ukawa smart ila usijue njia za kushika madaraka na mtu anaweza akawa alikuwa mjinga darasani ila anajua njia za kushika madaraka ndo daudi bashite
Moja ya sifa za kiongozi mzuri ni kuwa mkatili na moja ya sifa ya kiongozi mbaya ni kuwa mkatili sasa unajua tofauti zao ? Tatizo siyo ukatili tatizo ni KIONGOZI MPUMBAVU ...
Ukiambiwa kuna kiongozi MKATILI ILA SIYO MPUMBAVU NA KUNA KIONGOZI SIYO MKATILI ILQ NI MPUMBAVU (kikwete) basi wewe chagua kiongozi MKATILI ASIYE MPUMBAVU KULIKO HUYO ASIYE MKATILI.
 
HUwezi kuwa unaakili na ukawa katili sababu mtu mwenye akili anafikiria mbali madhara ya matendo yake
 
Back
Top Bottom