Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Mgeni Rasmi ni Waziri wa Elimu, Profesa wa Ukweli, Prof. Adolf Mkenda.

Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Mgeni Rasmi ni Waziri wa Elimu, Profesa wa Ukweli, Prof. Adolf Mkenda.

Hiyo maktaba inavitabu gani na mtu gani anaruhusiwa kuingia humo
 
Thubutu, kwa maisha gani uliyonayo hadi ujitolee?
Kutoa ni moyo wala sio utajiri, na kujitoa ni moyo wa kujitolea na wala kupata chochote!. Mimi nafanya kazi ya uandishi wa habari na utangazaji kwa kujitolea tuu kutokana na mapenzi tuu ya fani hii, I get nothing, ila nina shughuli nyingine ninayoifanya kuendesha maisha yangu.

P
 
Back
Top Bottom