Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Maji Jumaa Hamidu Aweso mapema leo jijini Luanda, Angola wakijiandaa na kujipanga kushiriki Mkutano wa 4 la Biennale ya Luanda—Jukwaa la Afrika kuhusu Utamaduni wa Amani litakalofanyika Luanda, Angola, tarehe 22–23 Oktoba 2026
Mkutano huo una Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kuimarisha Utawala wa Rasilimali Maji Inayovuka Mipaka barani Afrika kama Nyenzo ya Kuzuia na Kutatua Migogoro
Mkutano huo una Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kuimarisha Utawala wa Rasilimali Maji Inayovuka Mipaka barani Afrika kama Nyenzo ya Kuzuia na Kutatua Migogoro